Brenda watu wa Scandinavia walishapita stage yakupigana na maradhi sugu na wako kwenye stage ya kujikinga na maradhi sugu. Sisi malaria tu tumeshindwa kupigana nayo.Hello Jf,
Moja ya sababu ,watu wa scandnavia wanaishi muda mrefu ni pamoja na careful diet,,
I just think na sisi tukibdilisha eating habits zetu then tutaishi miaka mingi,
Kwa kuanzia, sio kweli mpaka ule vyakula vya mafuta kama kitimoto ndio unenepe,
Ugali,wali,chapati,maandazi hivi ni vyakula in excess vinanepesha,
Nimefikiria,life span yetu ni miaka 65,
Je tuki cut off carbohydrates/starch,tutaishi Zaidi??
Karibuni
Dah! Kiukweli hii nayo imekuwa ni issue, pole zake.Vyuma vilivyokaza hivi kula mara tatu kwa siku kwa wengi ni starehe. Shost aliniambia amekwenda kwa dada yake amemkuta amepiga chakula amewapa watoto tu yeye anasubiri jioni. Chakula kulikuwa kidogo.