Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,211
- 79,683
Mji mzuriImefanyaje?
NoSio wallpaper kweli?
Itakuwa mabomba wamepeleka baharini mtani 😂🤣🤣wamechimba wapi vyooo? 😛 😛 😛 😛
Kumbe asante kwa elimu kakaPanaitwa "Santorini" kama unakumbuka kuna meli iliwahi kufanya kazi dms kwenda mtwara basi asili ya hilo jina ndio huko.