Italy claims 1st COVID-19 Vaccine

Italy claims 1st COVID-19 Vaccine

Kwani limbwata WHO waliithibitisha?
Lakini inafanya kazi

TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!
 
WHO wamekula rushwa toka china ili wapinge kila juhudi za watafiti ili ugonjwa uzidi kuonekana kuwa nitishio....and still bado mna waamini?
 
Hiki siyo kipindi cha kutegemea sana WHO, sijawahi liamini hili shirika, acha Italia wapambane. Muda si mrefu game litamalizika.
Kweli mkuu. Jinsi Italy walivyo pigwa na Corona sidhani kama watasubiri mtu yoyote kuhakiki hio chanjo.
 
Sio rahisi hivyo kupata chanjo,,hata Israel kila siku anagundua chanjo na tiba ya corona,,hizi Ni fake news
 
WHO wamekula rushwa toka china ili wapinge kila juhudi za watafiti ili ugonjwa uzidi kuonekana kuwa nitishio....and still bado mna waamini?
Hizi peopaganda umezitolea wapi MKUU(leta ushahidi wahizi shutma WHO walishaweka wazi kwa US yakwamba walete kila ushahidi wawanayo yatuhumu juu ya UCHINA mpaka sasa hawajaleta) ?!?....

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom