Najaribu kuwaza; Hivi hii dawa ya ukimwi ikija kuwa confirmed kwamba iko effective kwa asilimia 100%, tutakuja kuwabana namna gani watoto wetu kuhusu kujiepusha na ngono?! Wote tunajua maadili yote, ya kijamii na kidini yalishakwama; angalau kwa kasi fulani mkwara wa kifo cha ngoma ulikuwa unaweka mambo sawa japo kiubishi ubishi.