funga ndoa Corona ikiisha waite watu waje kula kunywa na kucheza jasho la mtu halipotei bureTulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi.
Kutokana na agizo la serikali kuzuia mikusanyiko tumeamua kufunga harusi bila ya kuwa na sherehe wala watu zaidi ya mashahidi na baaadhi ya wanafamilia.
Mnanishaurije kuhusu michango iliyochangwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi.

Mbona rahisi tu. Waulize waliochanga kama wanataka warudishiwe pesa zao au kama wanataka zote wapewe maharusi wakaanzishie maisha yao mapya. Anayetaka kurudishiwa mpe na wengine wengi (I hope) watataka pesa zao wapewe maharusiTulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi.
Kutokana na agizo la serikali kuzuia mikusanyiko tumeamua kufunga harusi bila ya kuwa na sherehe wala watu zaidi ya mashahidi na baaadhi ya wanafamilia.
Mnanishaurije kuhusu michango iliyochangwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanunueni zawadi ya kumbukumbuTulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi.