mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Nakumbuka mara ya mwisho Video ya Dr Slaa inavuja kutoka hoteli ya Hyatt zamani Kilimanjaro alikutana na mwanasheria mwanasiasa kwa zaidi ya masaa mawili.
Alipoulizwa nini kiini cha mazungumzo yake, akadai Alikuwa anakamilisha ushahidi juu ya sakata la Richmond, ingawa baadae alipotelea Canada hadi leo Kimya...
Najaribu kufikiri hivi, kwa tukio la Luge na Singa*2 kukamatwa kipindi ambapo wengi tulidhani wako salama baada ya maazimio ya bunge kutiwa kapuni, Nini kitazuia wakati wowote hata mzee wetu EL anaesakamwa na aliwahi kusakamwa na chama alichopo kupigwa shambulio la kushtukiza
katika dakika za mwisho kabla ya uchaguzi 2020.
Chadema itasimamia wapi?...
Ingizo la EL Chadema limesababisha ubaridi na kigugumizi kambi ya upinzani.
Opportunity cost waliyoichukua imefubaisha upinzani maana haikuzaa matunda tarajali.