Itakuwaje 2020 EL akapitishwa UKAWA na Kutiwa nguvuni kwa Kashfa ya Richmond dakika za mwisho...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Nakumbuka mara ya mwisho Video ya Dr Slaa inavuja kutoka hoteli ya Hyatt zamani Kilimanjaro alikutana na mwanasheria mwanasiasa kwa zaidi ya masaa mawili.
Alipoulizwa nini kiini cha mazungumzo yake, akadai Alikuwa anakamilisha ushahidi juu ya sakata la Richmond, ingawa baadae alipotelea Canada hadi leo Kimya...

Najaribu kufikiri hivi, kwa tukio la Luge na Singa*2 kukamatwa kipindi ambapo wengi tulidhani wako salama baada ya maazimio ya bunge kutiwa kapuni, Nini kitazuia wakati wowote hata mzee wetu EL anaesakamwa na aliwahi kusakamwa na chama alichopo kupigwa shambulio la kushtukiza
katika dakika za mwisho kabla ya uchaguzi 2020.

Chadema itasimamia wapi?...
Ingizo la EL Chadema limesababisha ubaridi na kigugumizi kambi ya upinzani.
Opportunity cost waliyoichukua imefubaisha upinzani maana haikuzaa matunda tarajali.
 
Mkuu hili picha ndo kwanza liko kwenye TRAILER.Subiri picha kamili ila jua kuwa EL akikamatwa itabidi na hao wenye KINGA SIJUI NGAO,nao watakamatwa pia.
 
Lowasa akigombea tena 2020 kadi ya kupigia kura naichoma... Lowassa &co wameipiga sana hii nchi..
 
Hamuwezi kuitoa madarakan hawa watu ....kama kuna watu shyinyanga wana mabango wanataka miaka iongezewe zaidi ya kumi unategemea nn ....
 
Nakumbuka mara ya mwisho Video ya Dr Slaa inavuja kutoka hoteli ya Hyatt zamani Kilimanjaro alikutana na mwanasheria mwanasiasa kwa zaidi ya masaa mawili.
Alipoulizwa nini kiini cha mazungumzo yake, akadai Alikuwa anakamilisha ushahidi juu ya sakata la Richmond, ingawa baadae alipotelea Canada hadi leo Kimya...

Najaribu kufikiri hivi, kwa tukio la Luge na Singa*2 kukamatwa kipindi ambapo wengi tulidhani wako salama baada ya maazimio ya bunge kutiwa kapuni, Nini kitazuia wakati wowote hata mzee wetu EL anaesakamwa na aliwahi kusakamwa na chama alichopo kupigwa shambulio la kushtukiza
katika dakika za mwisho kabla ya uchaguzi 2020.

Chadema itasimamia wapi?...
Ingizo la EL Chadema limesababisha ubaridi na kigugumizi kambi ya upinzani.
Opportunity cost waliyoichukua imefubaisha upinzani maana haikuzaa matunda tarajali.
Si wanaye substitute Tundu Lissu!, au mpaka wenyewe CHADEMA hawamuamini?
Teh! Teh! Teh!
 
Nakumbuka mara ya mwisho Video ya Dr Slaa inavuja kutoka hoteli ya Hyatt zamani Kilimanjaro alikutana na mwanasheria mwanasiasa kwa zaidi ya masaa mawili.
Alipoulizwa nini kiini cha mazungumzo yake, akadai Alikuwa anakamilisha ushahidi juu ya sakata la Richmond, ingawa baadae alipotelea Canada hadi leo Kimya...

Najaribu kufikiri hivi, kwa tukio la Luge na Singa*2 kukamatwa kipindi ambapo wengi tulidhani wako salama baada ya maazimio ya bunge kutiwa kapuni, Nini kitazuia wakati wowote hata mzee wetu EL anaesakamwa na aliwahi kusakamwa na chama alichopo kupigwa shambulio la kushtukiza
katika dakika za mwisho kabla ya uchaguzi 2020.

Chadema itasimamia wapi?...
Ingizo la EL Chadema limesababisha ubaridi na kigugumizi kambi ya upinzani.
Opportunity cost waliyoichukua imefubaisha upinzani maana haikuzaa matunda tarajali.
Serikali ya CCM inamwogopa sana Lowassa
 
Back
Top Bottom