Itakuwa vipi marehemu wakiamka na kuwakuta mnatanua na wake zao??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Itakuwa vipi marehemu wakiamka na kuwakuta mnatanua na wake zao???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 28, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Wana ndugu itakuwa vipi marehemu....,
  wote wakiamka leo na kukuta watu manajivinjari na wake zao jamani!!!!
  maana kuna watu wanatanua na wajane si mchezo...mbaya zaidi ni wanatumia mali za marehemu kama walitafuta wao....
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo wajane hawatakiwi kuendelea na maisha? "Till death do us part..."
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  MZUNGU MMOJA AKIWA SOUTH KUJA DAR AKAAMBIWA UKISHUKA BONGO UKIULIZA SWLAI LAZIMA UJIBIWE NA SWALI ALIPOFIKA JNIA YAANA JULIUS NYERERE INTR APRT AKAULIZA "habari nasikia tanzania ukiulizwa swali unaulizwa swali" akajibiwa "who told u"......IDD MUBARAK
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sasa hao wamekufa wanarudi kufanya nini tena??mi naona itakuwa poa tu na wakirudi watafute vimwana wengine maana sie tutakuwa busy kubadilishana mbinu za medani na hao waliokuwa wake zao
   
 5. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ukishakufa basi aliyekuwa mkeo si mkeo tena au mumeo,not to be a sexist........
   
Loading...