Itakuwa ni Utu, mapenzi au huruma?

wonderaz

Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
60
Reaction score
7
Iwe ni mke au mume umebahatika kuwa na mtoto mmoja ambaye mzazi mwenzio labda kwa mapenzi ya Mungu alitangulia mbele ya haki au labda hamkuweza kudumu mkafarakana na kutengana inayopelekea wewe kuwa singel mum au dady, lakini baada ya muda mrefu kidogo kama single mum/dad unafaikiwa kuwa na mahusiano mapya na mke/mme mwingine mwenye uwezo kifedha na mafanikio makubwa anaamua kuchukua jukumu la maisha yako wewe mke/mme na mwanao kuanzia msosi mpaka shule(basic needs kwa ujumla),lakini mwisho wa siku wewe single mum/dad ukaharibu na kufika hatua ya uhusiano kuvunjika.

Lakini mwenza wako huyo mwenye mkwanja nafsi inamsuta kwa kuyaacha maisha ya mtoto yule yateketee.

Swali
Je tajiri huyo amsamehe huyo mwanamke/mume waishi kama zamani au amuombee yule mwenza wake amchukue mtoto amsomeshe na amlee ili kuhakikisha mtoto future haiharibiki.

Msaada naombeni wandugu naweza nisiwe mhandishi mzuri ila natumai imeeleweka.
 
Ngoja kwanza nizimue si unajua hangover
 
Yani mie ndio kabisaaaaaaa sijashika mita ........
 
ni vizuri ukiwa na mtoto wako uleee mwenyewe kwenye mazingira mabayo hata mkiachan mtoto hata kuwa affected,,,, kwa hili kubali kuachana tu
 
Cwezi sema chochote sahizi, labda kama nikionana na hao watu wenyewe ndo ntajua.
 
Ahnhaaaaaaaaaaaaaaaaaa! itakua vyote vitatu bhana yaani
[h=2]utu, mapenzi na huruma[/h]
 
Huruma na mazoea na kama utamchukua mtoto wakati utafika wa kumchukua tena baba au mama
 
Achana naye katafute wa kwako original msomeshe kuepusha shali zisizo za lazma!
 
Nikiwa kama mimi ni tajiri, nikawa na mahusiano ya muda mrefu na mwanamke ambaye tayari anamtoto, basi nitajitahidi kumuinua kiuchumi ili hata tukiacha awe vizuri kiuchumi, aweze kulea mtoto wake bila kunitegemea mimi na asinisumbue pindi nitakapo-move on. Naamini katika ule msemo "ni bora kukufundisha kuvua, kuliko kukupa samaki"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…