Itakuwa kibao cha jeshi hakukiona...

Itakuwa kibao cha jeshi hakukiona...

d8113622389dbfec4005a52e8f0b99ef.jpg
........
.....
Ukakamavu
 
Wakati wa kule ulaya ukikutana nao ni kama zali na unapiga nao picha na uko happy

Kazi ya hawa jamaa ni kuhakikisha sehemu inakua na amani lakini wao ndio wakwanza kuvuruga amani. Inaonyesha jinsi gani katika mafunzo yao kuna mapungufu mengi sana.
 
hao ni waasi mkuu wameingia cha kike,enzi zangu mimi nlikuwa nikiachiwa waasi niwalinde,front wakirudi wanakuta kazi nimemaliza
 
Hawa jamaa nuksi kweli niliingia kambini kwa mbwembwe na gari la kuazima napiga honi karibu na maeneo ya hospital yao akaja mmoja ananiambia chagua moja
Uruke kichura mpaka ulikotoka na urudie gari lako kwa kichura kutokea huko au urudi kwa Rivasi mpaka barabara kuu piga hesabu sasa ngoma uichekeche kutoka pale hospitalini mpaka barabara kuu nilikoma mbona na nimesimamiwa mpaka barabara hakuna kutoa kichwa nje tumia sidemirror
ungekataa wangekuua
 
wanajeshi wengi wa kiafrika ni wapumbavu tu wanaamini uniform zao ni leseni ya kunyanyasa wanyonge!
 
Kisheria hakuna taasisi yeyote Tanzania hii yenye mamlaka ya kumpa mtu adhabu. Inatakiwa ukatae, aamue kukupiga risasi ufe au akupeleke polisi wakufungulie kesi kwa mujibu wa sheria.
Vinginevyo kama wanawafanya hivi raia tutawachukia mtaani na tunaweza kuwadhuru pia.
Wasisahau kuwa tunaishi nao mtaani
 
Inawezekana na yeye akawa ni Mwanajeshi pia.

Hapo anapewa adhabu kutokana na kosa/makosa aliyoyatenda
 
Hapo wanaweza msababishia matatizo ya Uti wa Mgongo.

Au madhara mengine makubwa sana
 
Jamani mbona mihemko kwa picha za mtandaoni!!!!!! Hii sio tz.

Hakuna kosa utafanya raia jeshini upewe adhabu ya hivi, vinginevyo mkuu wa kikosi mpaka askari aliyetekeleza wataimba chorus.
 
Kisheria hakuna taasisi yeyote Tanzania hii yenye mamlaka ya kumpa mtu adhabu. Inatakiwa ukatae, aamue kukupiga risasi ufe au akupeleke polisi wakufungulie kesi kwa mujibu wa sheria.
Vinginevyo kama wanawafanya hivi raia tutawachukia mtaani na tunaweza kuwadhuru pia.
Wasisahau kuwa tunaishi nao mtaani
Ukikataa ndo unaning'iniziwa Tofar km ivoo,, so bora kichura au kujibwaga bwawa la majtaka isamehewe
 
Hawa jamaa nuksi kweli niliingia kambini kwa mbwembwe na gari la kuazima napiga honi karibu na maeneo ya hospital yao akaja mmoja ananiambia chagua moja
Uruke kichura mpaka ulikotoka na urudie gari lako kwa kichura kutokea huko au urudi kwa Rivasi mpaka barabara kuu piga hesabu sasa ngoma uichekeche kutoka pale hospitalini mpaka barabara kuu nilikoma mbona na nimesimamiwa mpaka barabara hakuna kutoa kichwa nje tumia sidemirror
Utakuwa sio dereva ww ! Adhabu ya pili ni kama kakusamehe tu labda kama udereva wako ni wa kwenda mbele tu
 
Hawa jamaa nuksi kweli niliingia kambini kwa mbwembwe na gari la kuazima napiga honi karibu na maeneo ya hospital yao akaja mmoja ananiambia chagua moja
Uruke kichura mpaka ulikotoka na urudie gari lako kwa kichura kutokea huko au urudi kwa Rivasi mpaka barabara kuu piga hesabu sasa ngoma uichekeche kutoka pale hospitalini mpaka barabara kuu nilikoma mbona na nimesimamiwa mpaka barabara hakuna kutoa kichwa nje tumia sidemirror
Ningewashinda hapo kwenye reverse. .kwangu isingekuwa adhabu
 
Wewe unajua barabara ya jeshi ile
Ni mbovu halafu ilikuwa wakati wa maska barabara ilikuwa na makorongo ya kutosha so kuna sehemu inabidi utoe kichwa nje
halafu inatakiwa uwe na heshima
nimeanza kuendesha gari 1986 Fiat aka mbaula gari la babu huko maporini kijiji kimoja kinaitwa
Bupandwamhela kila nikienda likizo kazi yangu kusomba pamba na mazao ya wanakijiji
 
Wacha kujitetea ... Udereva wako wa kizamani
 
Wewe mtoto umeanza kuendesha gari juzi gari yenyenye unaweka D unasongo mbele R unarudi nyuma
Miaka 30 niko barabarani sijui nini utanidanganya nimeendesha Pulling kwa miaka 9 na sidhani kama ulikuwepo duniani au ulikuwa bado kwenye zipu ya baba yako
 
Back
Top Bottom