Itafika wakati nami nitampata anipendaye kweli?

Wanaume mna uwanja mpana sana na muda wa kutosha kupata mwenza
Utapata mtakayependana,tuliza akili na usikurupuke usije kupata atakayekufanya uyachukie mapenzi

Asante sana dada mzuri kwa kunipea moyo mpaka usingizi umecome, ngojea niendelee kuvuta pumzi may b ipo siku nami ntajipatia pambo la nyumba anipende kwa raha na shida awe tiyari kulumangia ugali mkavu na kachumbari
 
Mbona huyo sio mdada.
 
Back
Top Bottom