Itaanza lini?

Itaanza lini?

muhandu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
311
Reaction score
84
Salaam wana jukwaa,napenda kufahamu ni lini mtu anaweza kuanza ku apply chuo kikuu hasa kwa wale ambao wamemaliza form six miaka ya 2000?
Asanteni na karibuni kwa msaada huo.




:amen::amen:.:amen:
 
Mkuu mbona kama umechelewa kidogo

Watu mpaka 1998 nimewaona wameshachaguliwa na saiv wanafanya registration
 
kwa mwakani 2016 mkuu,ni mwezi gani?
 
Back
Top Bottom