It will be suicide for America to attack Iran

Yaani awali wakati wanataka kuingia vitani walikua hawajui kama watakua wapo wrong ama [emoji16][emoji16][emoji16]

Kuna mambo yanachekesha sana yaani wewe unajua kama walikua Wrong Halaf CIA wasijue [emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iran kupigwa na US ni kama kuua mende kwa nyundo, Iran atatandikwa na Saudi Arabia na huo ndo utakuwa mwisho wa mashia.

Sent using Jamii Forums mobile app
SAUDI ARABIA Apigane Na HOUTH kwanza Anahangaika Nao Mwaka Wangapi Huu


US Anatamani Kumpiga MUAJEMI ila Anajua Khatma Atakayokumbana Nayo Anabakia Kubweka Tuu[emoji3][emoji3][emoji23][emoji16]

Sent using My COVID-19
 
Hatuui mende kwa nyundo, saudia Arabia atayasambaratisha mashia na huo ndo utakuwa mwisho wa uislam kuchafuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No hatuikuzi Iran,ila ni kweli imekua sana kijeshi.Hatusemi it is as powerful as the US hapana,na hii imeonyeshwa wazi kwenye bandiko, ila US kuishambulia Iran,ni lazima Marekani ifikirie mara mbili,wanaweza kupata damage kubwa sana.

Iran has good weaponry,askari wa Iran wana akili,wana high morale na uzoefu.Infact naweza kusema they are war hardened.

Kitu kingine kizuri ambacho askari wa Iran wanacho,ni wananchi wao,wanawapenda.Hii inawaongezea courage na zeal.Hii ni tofauti kabisa na askari wa Marekani.Kwanza most Americans,na hata askari wenyewe, do not appreciate what they are doing.Wanaona tu kama wanaonea mataifa mengine and are occupiers,kwa hiyo hawapendi hasa wanalolifanya,and they are right.Hali hii ikichanganywa na the fact that most American soldiers are mercenaries, you have an army whose morale is very low.Na ndio maana they loose in many wars.The Americans have never really won a war since World War II.
 
Nimekuelewa mkuu ila kwenye Iraq War against Sadam Hussein, US pia ilishindwa?
Iraq was a devastated army already by then,si unakumbuka walikuwa wametoka kwenye vita na Iran.Kumbuka pia kwamba Marekani hawakuwa wenyewe katika vita ile,that was a coalition.Uingereza walikuwepo,Canada nk.nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…