Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,010
- 37,418
Kwan hata vile vikambi vilikua vyakupigwa kirahisi vile na mbona vikachapwa nawafadhili wakubwa wa ugaidi ulimwenguni US hawakujibu kitu mpaka leo hii [emoji23][emoji3]Pumba...kwa akili yako meli za USA niza kuzamishwa kirahisi ivyo.au unazani wakati waki zamisha USA atakua kasimama tu
Kama walivyokimbia wao baada ya kutandikwa pale AIN al ASAAD [emoji23][emoji23][emoji23]Wakianza tandikwa wanakimbia na kuacha makobasi nyuma mtaanza sema marekani anaburuga nchi za wenzake. Marekani habari ingine kabisa
Zikipita tu ayatollah lazima apige simu UNKwan hata vile vikambi vilikua vyakupigwa kirahisi vile na mbona vikachapwa nawafadhili wakubwa wa ugaidi ulimwenguni US hawakujibu kitu mpaka leo hii [emoji23][emoji3]
Sent using My COVID-19
Ndugu hayo madude yanafaa kwa nchi kama Tz na sio Iran.Zikipita tu ayatollah lazima apige simu UN View attachment 1429942View attachment 1429943
Nilichouliza ndo nilichomaanisha, we jibu swali blah! blah! Hazisaidii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bahati Mbaya Ama Nzuri Hua Siongelei Kiushabiki Hv Unawaza Nini Mpaka Unaifananisha RUSSIA na IRAN kijeshi ?!
Ama Hukukusudia RUSSIA !?.
Sent using My COVID-19
[emoji4]Ndugu hayo madude yanafaa kwa nchi kama Tz na sio Iran.
RUSSIANilichouliza ndo nilichomaanisha, we jibu swali blah! blah! Hazisaidii.
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi Russia akimtandika iran, Iran atauweza kweli mziki wa Russia? au Russia ndo ataadhibiwa na Iran?RUSSIA
Sent using My COVID-19
Marekani hamna nchi inaiweza sababu wamjiimarisha duniani. Wana military base kila mahali. Yaani wakipbana na iran watakachofanya ni kusogeza manowari zilizo karibu na meli za kivita na kumaliza kazi huko huko iran huku us wakiwa wako bize na korona.
vipi Russia akimtandika iran, Iran atauweza kweli mziki wa Russia? au Russia ndo ataadhibiwa na Iran?
Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN Sio RUSSIA tu Ama US IRAN Yeyote Atakaejitoa Ufahamu Atapewa Anachostahili Awe RUSSIA awe US awe UK awe GERMAN awe ISRAEL awe FRANCE ama Yeyote Atapewa Anachostahilivipi Russia akimtandika iran, Iran atauweza kweli mziki wa Russia? au Russia ndo ataadhibiwa na Iran?
Sent using Jamii Forums mobile app
akikujibu unitag ila atakwambia hawatakaa wapigane hao[emoji3][emoji16]
Uingereza atachezea kichapo kama amekaa, Tena kipigo cha mbwa koko.akikujibu unitag ila atakwambia hawatakaa wapigane hao[emoji3][emoji16]
Sent using My COVID-19
Mie siko kama wewe, kwa taarifa yako uingereza atatandikwa Kama mtoto mdogo.akikujibu unitag ila atakwambia hawatakaa wapigane hao[emoji3][emoji16]
Sent using My COVID-19
Uingereza atachezea kichapo kama amekaa, Tena kipigo cha mbwa koko.
Nimewajibu straight sio kama blah! blah! Zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atatandikwa kwakigezo gani kama TALEBAN Kakikundi cha Watu wawili watatu kimempelekesha Aje Ampige UK Anaumwa Labda Huyo UK ?!Uingereza atachezea kichapo kama amekaa, Tena kipigo cha mbwa koko.
Nimewajibu straight sio kama blah! blah! Zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwishowe utasema hata majambazi tu yanayopora kule US yamewashinda[emoji23][emoji23]Unaweza ukajibu straight ila majibu yasiwe straightAtatandikwa kwakigezo gani kama TALEBAN Kakikundi cha Watu wawili watatu kimempelekesha Aje Ampige UK Anaumwa Labda Huyo UK ?!
Sent using My COVID-19
IRAN Hatakaa Apigwe Na US Nakama Anaweza Afanye Kama Anajaribu Tu AoneMwishowe utasema hata majambazi tu yanayopora kule US yamewashinda[emoji23][emoji23]
Vilevile mrusi anatandika Iran kama binti mdogo wa kike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msome upya soleiman na umlingsnishe upya na parkMkuu Iran is powerful yes, but not as you put it. Iran ingekuwa that powerful US officials wasingepata guts za kumuua Soleimani ambaye alikuwa the most influential figure in the Iranian Military.
Yaani Suala la US kumuua Soleimani ni sawasawa na US kuishika makalio Iran na inatosha kabisa kuthibitisha Iran kuwa siyo that powerful kama unavyoiweka. Yaaani Top Iran Military Officer anauliwa anaishia kuattack a military base tena without a single death. Kwanini Iran wasinge-retaliate kwa kumuua mtu kama Michael Grinston ambaye ni top official kwenye Jeshi la US? Wakaishia kulialia tu.
Ngoja nikuulize hivi Unahisi Nini kitatokea Leo kama US ikimuua mtu kama Park Jong Chon ambaye ni kama Soleimani kwa North Korea?
Na unahisi Nini kitaipata US ikijaribu kufanya hivyo?
Mnaikuza Sana Iran.
Iran kupigwa na US ni kama kuua mende kwa nyundo, Iran atatandikwa na Saudi Arabia na huo ndo utakuwa mwisho wa mashia.IRAN Hatakaa Apigwe Na US Nakama Anaweza Afanye Kama Anajaribu Tu Aone
Sent using My COVID-19