Usifananishe Iran na vitu vya kijinga.Na iraki watu walisemaga haya matokeo yake saddam akajificha kwenye shimo na marekani walimpelekea moto kwake. Tena sio jeshi lilienda bali kikosi tu.
Nimecheka sana.Usifananishe Iran na vitu vya kijinga.
Iran ni habari nyingine.
Ova.
Sent using Jamii Forums mobile app
#IRGC Air Force Commander: We would targeted 400 locations if Americans had responded to our missile attack against Ain al-Assad military base.Marekani hamna nchi inaiweza sababu wamjiimarisha duniani. Wana military base kila mahali. Yaani wakipbana na iran watakachofanya ni kusogeza manowari zilizo karibu na meli za kivita na kumaliza kazi huko huko iran huku us wakiwa wako bize na korona.
Hata irani ni uajemi. Walivurugwa na kikosi na wala sio jeshi..Usifanye mas-hara na waajemi, marekani wangelifanya kosa tu la kulipiza kisasi basi wangezikwa wote kwenye vifusi #IRGC Air Force Commander: We would targeted 400 locations if Americans had responded to our missile attack against Ain al-Assad military base.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saidi arabia ndio mbabe wa waarabu. Iran saizi yake Qatar.Saddam alikuwa mwamba kuliko hata huyo ayatollah lakini ikala kwake. Iran level yake ni Saudi arabia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mashariki Yambali MKUU nimashariki Yakati Ama ASIA MAGHARIBI.Haya bhana. Unaongea kishabiki. Usa hamna taifa la kuisumbua hasa ya mashariki ya mbali.
Struggle idiotUsifanye mas-hara na waajemi, marekani wangelifanya kosa tu la kulipiza kisasi basi wangezikwa wote kwenye vifusi #IRGC Air Force Commander: We would targeted 400 locations if Americans had responded to our missile attack against Ain al-Assad military base.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua Mwamba Wagoli Labda Maana Hata Baruti Alikua Anaagiza huko huko USSaddam alikuwa mwamba kuliko hata huyo ayatollah lakini ikala kwake. Iran level yake ni Saudi arabia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kwa WAARABU Uko sahihi kabisa Yakwamba SAUDI ARABIA ndio Mbabe Wao Ila Sio Kwa IRANSaidi arabia ndio mbabe wa waarabu. Iran saizi yake Qatar.
Asante kwa masahihisho.Sio mashariki Yambali MKUU nimashariki Yakati Ama ASIA MAGHARIBI.
Sent using My COVID-19
Weka ushabiki pembeni, hivi Iran na Russia yupi yupo juu kijeshi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikua Mwamba Wagoli Labda Maana Hata Baruti Alikua Anaagiza huko huko US
Sent using My COVID-19
Mkuu Wamarekani wanaigopa Iran,soma bandiko langu vizuri uone why.Iran sio taifa la kuchezea hata kidogo,and its' adversaries know that very well.Sidhani kama rais wa marekani kitoka chama cha republican atoke madarakani bila kukinukisha. Ngumu sana. Trump kakalia kuti kavu kwao anaweza akawa raia wa muhula mmoja hivyo anaweza itumia hii nafasi kuvuruga kama walivyo republican.
Uko sahihi mkuu.I keep saying,vita sio uwingi wa madege na mameli uliyo nayo.Ni morale,logistics na experience ya your fighters which matters.Wairan kwa haya yote ni moto wa kuotea mbali.Sasa Wasaudia wanatunia zaidi mercenaries,so no morale;hawana ujuzi wa silaha wanazozitumia na hawana experience ya vita.Wairan are real fighters and war hardened.Wanajua pia silaha zao vizuri kwa kuwa ni indigenous,besides ni nzuri.Kweli kwa WAARABU Uko sahihi kabisa Yakwamba SAUDI ARABIA ndio Mbabe Wao Ila Sio Kwa IRAN
Sent using My COVID-19
Yes,struggle you idiot.Iran kwa sasa sio nchi ya kuchezea kabisa kivita.Marekani wakicheza kidogo tu,meli zao zote zinaweza kuzamishwa at once.They know this very well.Ndio maana kambi yao ya kijeshi iliposhambuliwa na missiles za Iran with pin point accurancy hawakujibu mapigo.Iran wana extremely advanced missile systems and other systems,tena indegenous!Iran kwa sasa militarily ni very advanced.Juzi tu wamefanikiwa ku-lauch there "own" military satellite into space.Fuata link ifuatayo.Struggle idiotView attachment 1429166
Pumba...kwa akili yako meli za USA niza kuzamishwa kirahisi ivyo.au unazani wakati waki zamisha USA atakua kasimama tuYes,struggle you idiot.Iran kwa sasa sio nchi ya kuchezea kabisa kivita.Marekani wakicheza kidogo tu,meli zao zote zinaweza kuzamishwa at once.They know this very well.Ndio maana kambi yako ya kijeshi iliposhambuliwa na missiles za Iran with pin point accurancy hawakujibu mapigo.Iran wana extremely advanced missile systems and other systems,tena indegenous!Iran kwa sasa militarily ni very advanced.Juzi tu wamefanikiwa ku-lauch there "own" military satellite to space.Hizi sio achievements ndogo.No Arab country has this capability,ni Israel tu.
Nadhani hujui capability ya missile!Kuna meli gani isiyoweza kuzamishwa na missile yenye nuclear warhead,hakuna kabisa.Kumbuka Iran kwa sasa wana uwezo wa ku-launch 400 missiles simultaneously. Nimesema Marekani wakifanya miscalculation kidogo tu,meli zao Middle East zinaweza kuzamishwa zote,tena at once,na wanalijua hili.Pumba...kwa akili yako meli za USA niza kuzamishwa kirahisi ivyo.au unazani wakati waki zamisha USA atakua kasimama tu
Bahati Mbaya Ama Nzuri Hua Siongelei Kiushabiki Hv Unawaza Nini Mpaka Unaifananisha RUSSIA na IRAN kijeshi ?!Weka ushabiki pembeni, hivi Iran na Russia yupi yupo juu kijeshi?
Sent using Jamii Forums mobile app