It was nice being with you MMU

Acha hizo bana nipe password ya ID yako mimi nataka nikuongezee idadi posti,Thanks,Like na Groan
kweli post zitaongezeka,tena kwa wewe mtaalam kweli wa kupost,ila sasa!
Jinsi wana MMU walivo nichoka naamini wewe ni moja kati yao,...na sasa
wame kutuma uwe agent wa kuhakikisha sirudi tena,...
na lengo lako nikupe password,upost madudu,nipigwe total BAN,nime stuka
.......SITAKIIIIIII.........
 
Daahhh
sikujua mtu wawezwa achwa
kabla ya ku date..khaaaa

Inaniuma sana , hata la
kufanya linakosekana inaniuma sana...
:Cry::Cry::Cry:
 
Andaa kwanza msosi basi. Mbona huku huwa huleti msosi?
Nitakua sikumisi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom