IT services (bagamoyo road)

IT services (bagamoyo road)

Jackmedia

Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
81
Reaction score
26
wakuu!
msaada kwa mwenye cd za program muhimu kama windows 7,xp,8 obunt,antivirus na zingine muhimu anisaidie nimepoteza poch ya cd kwenye harakati za mjini. kama unaishi bagamoyo road na maeneo karibu na hayo kama ubungo manzese mwananyamala tegeta boko bunju mapinga ntakufuata maana kazi zimesimama!!
pia mwenye ushauri juu zaidi juu ya hz kazi IT kwamtu asie na ofic karibu pia
shukrani
 
Pole sana kama mtu wa IT naamini sasa utafahamu nini maana ya kuwa na backup.
Antivirus kama ipi unayohitaji kwani antivirus zinauzwa na kama unataka za bure ingia net udownload.
 
Back
Top Bottom