IT Professional certifications au masters?

Sasa na hio jentromeni mzee baba kazi atakupa nani mzee mwenzangu
 
Hizi hutolewa na vendor husika kama cisco-hawa ni kwa upande wa network, ceh-hawani upande wa security, cisa -inatolewa na isaca katika mambo ya system audit, microsoft. Ziko nyingi sana....kama uko ktk industry ya IT lazima utakuwa umezisikia.. Ila kama uko nje ya IT ni ngumu kuzielewa. Mitihani yao ni online, unaweza soma course online au kunabaadhi ya centers hapa tz wanafundisha
Nimekupata mkuu..je kama sina it ila na tamani kuzisoma itawezekana..?
 
Habari wakuu! Nakuja mbele zenu kuomba ushauri hasa kwa wajuzi wa mambo katika soko la ajira za IT.
Kijana wenu ninadegree ya IT niliyoipata miaka 2 iliyopita ila sikuwa na Gpa nzuri sana (2.8).
Je kwasasa nipitie njia gani ili niweze kupata ajira kwa urahisi...maana nimeangaika sana sijafanikiwa kupata ajira.
Je nijiongezee elimu kwenye masters kutokana na degree yangu sikuperform GPA kubwa(yawezekana ndo sababu ya kutoajiriwa mpaka leo) au nianze kutafuta hizi professional certification kama cisco ccna,microsoft mcsa,ceh,isaca cisa.
Naomba kuwasilisha!
IT ajira zipo nyingi sana. Jitahidi **** application na Kutafuta connection utafanikiwa
 
Mzee Mimi nipo serikalini nimefanya Nazi vodacom nimefanya Nazi crdb, naomba nikwambie GPA has nothing to do with getting the best job in public or private sector unless post za academician asikudanganye mimi mfano watu wengi niliofanya nao interview wengi wao huwa na GPA ndogo saaaana zaidi ya hiyo
 
Kwa situation kama yako go for IT Certification japo siyo guarantee kuwa utapata kazi ila itakupa Added Advantage kati ya washindani. Cha Muhimu ni kutafuta sehemu ya kujitolea ili uweze kupata uzoefu na kujua jinsi kazi zinavyofanyika. Fanya certification unayoipenda na kuiweza usifanye sababu inalipa zaidi utafeli big time!
 
Certifications na masters vyote vina umuhimu ,lakn katika mazingira tofauti. Pia certications zinatofautiana .Wasiliana nasi Fulgent Careers kwa ushauri wa kitaalam na maelezo kamili kwa gharama ya tsh 5000. tu.pm au 0769 524 022.
 
Aiseee!
 
Mhhhhh
 
Ahahaahahahahaha
 
Safi sana kwa kuiona fursa. Ofisi zenu zinapatina wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom