It might be you, try your chance

''Mentor wa Mahusiano'' aliefanya trials nyingi huko kitaa na still akakosa mke!

Hence, kaamua kuja kutafuta mke wa kwenye 'soft copy' akiwa nyuma ya keyboard. Teh teh teh

BTW... It sounds exaggerated! utadhani mwanasiasa anaomba kura. (Joking)

All the best kiongozi

-Kaveli-
 
u

At least you made a comment, i think it has been counted as well Kaveli. keep it up
 
umeandika vzr sana. ungekuwa pia una uwezo wa kuongea hivi hivi ungekuwa ushapata mke.
alaf umesahau kuweka picha yako.

asante, sidhani kama itakuwa busara kuweka picha. Nafikiri this can be done privately for the interested ones yello masai , does that makes sense with you?
 
Hahaaaa, haki ya nani !!! Tatizo ni kwamba bado sioni nuru, naona giza! Mungu hakunifafanulia nitamgunduaje! ikiwa ni ww mzurimie una hivyo vigezo nafikiri CHUKUA HATUA...

Mimi pia nasubiri Mungu anifungulie zaidi na zaidi, kwa zuri alilonipangia katika maisha ya mapenzi nizidi tu kuwa na furaha maishani.
 
Mimi pia nasubiri Mungu anifungulie zaidi na zaidi, kwa zuri alilonipangia katika maisha ya mapenzi nizidi tu kuwa na furaha maishani.

Ewaaaaah, ila tujitahidi subira isivuke mipaka adi yesu akarudi akakuta bado tunafikiria tuuuu hatuamui mzurimie
 
picha huwa inaeleza mambo mengi kwa mkupuo. ungetupia picha usingelazimika kuyaandika yote hayo, tungeyapata kwenye picha.
weka picha basi wakujaji.

Don't be confused with pictures bcoz they won't tell you who I am exactly or are you!!!! But i can disclose my picture to the right place or right mode of communication. Hapa naongea na mamia ya watu, interested na non interested. It won't sound good yello masai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom