.... Kamwe siwezi kusema 'Never' kwa Tanzania yetu hii; lakini tukiikosa fursa hii ya Oktoba 29... 'It is going to be very messy in future kuwaondoa madarakani waovu hawa.
Wanatuonyesha vigali vya polisi kwa hofu kubwa sana, na kujitangaza mara mbilimbli kuwa maAmiri Jeshi Wakuu; yote haya ni kwa hofu ya kujuwa waTanzania wakiamua kweli wakati huu ndio mwisho wao..
Oktoba 29, ni siku ya kipekee sana kwa nchi yetu.
Kinacho ombwa kwa kila mTanzania, ni kujitokeza tu kuandamana. Hutakiwi kufanya kitu kingine chochote
Kuwepo kwako katika maandamano hayo popote pale utakapokuwa ndiyo kinga sahihi ya kuepusha maisha ya waTanzania wenzako.
Polisi watano hadi kumi hawawezi kuwakabili waTanzania elfu ishirini sehemu yoyote hapa nchini.
Unachotakiwa ni kuwepo, huhitaji kukimbizana na mtu yeyote siku hiyo. Polisi akithubutu atakimbia mwenyewe.
Wewe njoo tu tushirikiane kuandamana ili tuwaondoe watu waovu hawa wanaolididimiza taifa letu.
Tusipo fanya hivi wakati huu, maana yake ni kwamba tumekubali maumivu makali ndani ya utawala huu.
Ni kwamba tumekubali kufanywa watwana ndani ya nchi yetu; ni kwamba tumekubali kunadi raslimali za nchi yetu tulizo jaliwa na Mwenyezi Mungu ili zitusaidie kuinua hali ya maisha ndani ya nchi yetu Tutakuwa tumekubali kupoteza utu wetu, HAKI zetu katika mambo yote yanayo tuhusu kama waTanzania....
Tusiiachie hii nafasi adhmu ipite hivi hivi..
Tukamwambie Samia Suluhu Hassan na Genge lake, IMETOSHA.
Mungu Ibariki Tanzania.