It is a serious campaign


Ukiacha tembo na twiga, viumbe wengne
ambavyo viko mbioni kutoweka dunian ni WANAWAKE WEUSI.
 

Ukiacha tembo na twiga, viumbe wengne
ambavyo viko mbioni kutoweka dunian ni WANAWAKE WEUSI.

Hahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Sijui wapi pa kuanzia hii kampeni MSHANA JR.
Kufanikiwa nahisi ni shida
 
Sijui wapi pa kuanzia hii kampeni MSHANA JR.
Kufanikiwa nahisi ni shida

Kufanya matamasha na matangazo na machapisho mengi yakionyesha madhara ya kujikataa na kutumia madawa ya kujichumbua na kujikoboa
Kampeni ya BLACK IS BEAUTY muhimu sana
 
Nalichukia hili lisichana toka lijipambanue kuwa ccm na kwa matusi kibao dhidi ya ukawa, basi tu!
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa.

Wahindi wabaya - mnavaa nywele za maiti zao.

Waarabu wabaya - mnajikoroga muwe kama wao.

Wazungu wabaya - nywele za maiti wa kihindi mnazibadili rangi na kuzifanya za kizungu (blonde) na hamuongei maneno mawili matatu bila kutumia lugha yao.

Leo unashangaa nini?
 
Siku hizi ukimpenda mwanamke mweupe utafute na historia yake ya ngozi. Watu wamekuwa mafundi wa kuvua ngozi zao huwezi kutofautisha na ya uongo!
 
Mbona wema sasa hv amerudi kawaida sio km kipindi cha hapo katikati alivyokuwa anatumia mkorogo,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…