IT in security system

IT in security system

Mambo vipi wana JF unapo soma security system unaweza ajiriwa sehemu gani?
Cyber security au IT security specialists inalipa sana ukizingatia kuwa sasa ni ulimwengu wa TEHAMA.

Ajira nyingi kwa sasa zipo kwenye taasisi za kifedha hasa Mabenki.
 
Back
Top Bottom