Ahaa thanks dadMiss you too .hongera kwa ujasiri wa kununua simu mwenyewe kipindi hiki cha corona. Ukipata majanga kama hayo tushtue tutainuana mpaka upate simu mpya mpwa
Hiyo avatar imesababisha niungue chaiKweli wezi si watu wema haha... walichukua simu Kama yao...bt thanks Lord I'm back,maana na Covid-19 hii kuBuy a new phone ni ujasiri... I real miss you Guys
![]()
Mbona we hukuninunulia mie si mdogo wako..Si ungemwambia bae akununulie?
Nimekupenda mrembo..😉
wewe mtoto mzuri hivyo hutakiwi kutumia TECNO