IT Experts wa Airtel Mnafeli wapi?

t blj

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
7,196
Reaction score
17,185
Sijui hesabu zimepigwa kwa kutumia kikokotoo kipi

 
Wanajuwa wabongo wengi hawana muda na calculation ndo maana wanajitumia tu
 
Sijui hesabu zimepigwa kwa kutumia kikokotoo kipi

View attachment 1526682
Hii lafudhi kama sio ya Kitanzania, "salio Ya Sms" badala ya Salio la Sms, Sio mkenya huyu aliendika?

Badala ya Neno "Umetumia" ilitakiwa iwe "Umebakiwa na"

Sio hao tu, ukipokea msg za Facebook ndio utacheka, lafudhi ya Kiswahili cha kihindi kabisa maneno ovyo ovyo yamekosewa.
 
Hizo ni automatic messages zinazotumwa na software, kutokana na predifined conditions. Sasa hapo ni software ndio imeona hivyo na ni makosa ya condition statement kwenye software hiyo.

Condition zimewekwa kinyume, yaani ulichotumia ndio kimetajwa kama salio.

Dakika umetumia 14% umebakiwa na 86%
Wakati
Sms umetumia 1% , umebakiwa na 99%

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kma jana Kupatana system yao ya email ilizingua wapi sijui. Wametuma email hyo hyo kma mara 50 hvi. Daah
 
Hapo kweli wanatakiwa kuedit conditions za mfumo maana mfumo unapokea commands zenye IF functions zilizo na makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…