IT expert mwenye uwezo wa kufix PC, PS3, PS4 na kuingiza games

vitabu Bei Chee

New Member
May 13, 2019
3
2
TANGAZO LA AJIRA

MFANYAKAZI WA KIUME ANAHITAJIKA

-Awe anajua kutengeza mashine za ps4, ps3, ps2 na PC na vifaa vyake, padi n.K

- Awe anajua jinsi yakuingiza magame kwenye ps4, ps3, ps2 na PC

Piga simu 0743749842

Naomba uwe umekidhi vigezo hivyo kikamilifu kabisa kabla ya kupiga simu

Salary- 200000/=

Tupo Riverside Ubungo ndo ofisini

Uwepo Dar
 
Kwa bei hiyo dah
 
Kwa bei hiyo dah
emoji15.png
Mkuu kazi kama hiyo unataka shingapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom