Isumba Lodge: Miaka 3 ya Return of The Legend, DJ JD, John Dilinga Matlou

Isumba Lodge: Miaka 3 ya Return of The Legend, DJ JD, John Dilinga Matlou

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,587
Reaction score
134,224
Nimehudhuria sherehe ya maadhimisho ya miaka 3 ya The Legend, DJ JD John Dilinga Matlou hapa Isumba Lodge.

Sherehe zilifana sana, zilitaka kuingia dosari pale JD alipotangaza pia tunasherehekea Tanzania kupata rais mpya almanusura kiwake kwa zomea zomea!.

JD akawapooza watu kwa kusema baada ya kutangazwa amekuwa ni rais wa wote!.

DJ JD ametoa barua za appreciation kwa wengi waliomsupport katika miaka hii mitatu.

Endelea kuandamana nami.

Pasco
 
Old skol wengi tumekutana hapa na kuanzisha networking. Ma DJ wengi wa zamani akiwepo Masoud Masoud, DJ First Eddy, DJ John Peter Pantalakis na DJ P.of RTD.

Pasco.
 
Sasa ni the legend ndani ya conso, anabimbirisha mavitu mpaka nachanganyikiwa!.
P.
 
Imeshuka kitu "No romance without finance, yamenikumbusha ule msemo wa hapendwi mtu, inapendwa pesa tuu, na kiukweli ndio tabia za dada zetu walio wengi kupenda pesa, mtu mwenye pesa kuonekana ndio mtu!.

Hoja za huyu dada ni kuwa I'm woman with responsibilities, so Im looking for a man who has got money in his hands, you can't live on nothing, eat on nothing, you got to have a J.O.B if you wanna be with me!.'
Saa anabumbirika na kibao "You are the one!"

Pasco
 
Kwa wale walioumizwa na matokeo, kujirusha na kujiachia kunapunguza machungu, after all life has to go on!.

Pasco
 
Ila pia wajamemi tusemezane la ukweli, Tanzania au Dar es Salaam, ina wadada warembo balaa. Ukiondoa Ethiopia kwenye Wahabeshi na Rwanda kwenye Wanyarwanda nadhani Tanzania ndio inafuatia!. Na jinsi sisi wa Kanda ya Ziwa tulivyo dhaifu kwenye mambo fulani!, hapa ni full kuchanganyikiwa!, usipokuwa makini unaweza kujikuta unashindwa kurudi home!.

Pasco
 
Holiday imebimbirika

Na sasa ni ma sebene!
Hapa balaa!.
Pasco
 
Ila pia wajamemi tusemezane la ukweli, Tanzania au Dar es Salaam, ina wadada warembo balaa. Ukiondoa Ethiopia kwenye Wahabeshi na Rwanda kwenye Wanyarwanda nadhani Tanzania ndio inafuatia!. Na jinsi sisi wa Kanda ya Ziwa tulivyo dhaifu kwenye mambo fulani!, hapa ni full kuchanganyikiwa!, usipokuwa makini unaweza kujikuta unashindwa kurudi home!.

Pasco

Bambia watt hao mkuu..Achana na Jf..
 
Imeshuka kitu "No romance without finance, yamenikumbusha ule msemo wa hapendwi mtu, inapendwa pesa tuu, na kiukweli ndio tabia za dada zetu walio wengi kupenda pesa, mtu mwenye pesa kuonekana ndio mtu!.

Hoja za huyu dada ni kuwa I'm woman with responsibilities, so Im looking for a man who has got money in his hands, you can't live on nothing, eat on nothing, you got to have a J.O.B if you wanna be with me!.'
Saa anabumbirika na kibao "You are the one!"

Pasco

View: https://youtu.be/3gTpcKKuDec?si=vC0aOV3dd-C8Mm4o
 
Thanks, you have made my day!.
Bill collector's at my door
What can you do for me?
Hey

No romance without finance
No romance without finance

Boy, nothin' in life is free
That's why I'm askin' you what can you do for me
I've got responsibilities
So I'm lookin' for a man whose got money in his hands

'Cause nothin' from nothin' leaves nothin'
You got to have somethin' if you wanna be with me
Oh, life is too serious, love's too mysterious
A fly girl like me needs security

'Cause ain't nothin' goin' on but the rent
You got to have a J-O-B if you wanna be with me
Ain't nothin' goin' on but the rent
You got to have a J-O-B if you wanna be with me

No romance without finance
I said no romance without finance

Boy, your silky ways are sweet
But we're only wastin' time if your pockets are empty
I've got lots of love to give
But I will have to avoid you if you're unemployed

'Cause nothin' from nothin' leaves nothin'
You got to have somethin' if you wanna be with me
Oh, life is too serious, love's too mysterious
A fly girl like me needs security

'Cause ain't nothin' goin' on but the rent
You got to have a J-O-B if you wanna be with me
Ain't nothin' goin' on but the rent
You got to have a J-O-B if you wanna be with me

No romance without finance
I said no romance without finance
No romance without finance
I said no romance without finance

Oh, you look good to me
Your silky words are sweet
But your pockets sure look empty

Ain't nothin' goin' on but the rent
P
 
Back
Top Bottom