Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
Screw the land grabbers!
Another blow to the government and indeed to the poor Tanzanians. The project, should it been materialised, could have dug thousands of indigent people out of privation.
It's misapprehension and misconception publicized by, once again, 'rights crusaders' that provoked its termination.
This event yet highlights the ill role executed by the so called activists to hamper and confront government plans to help its people tackle poverty.
wewe unakosea kuuliza maswali ya msingi, hilo halitakiwi.Je sheria zilifuatwa ?
Je Tanzania inasheria ya kuuza ardhi au ya ku lease ardhi?
Je hao jamaa walipewa lease au waliuziwa?
Sheria ya kulease ardhi ilifuatwa au la?
naomba mnijuze
Ni ushindi mwingine wa wanaharakati! Tuliweka documents za ule Mkataba hapa na kuhamasisha kupinga uporaji huu wa ardhi yetu chini ya sera mbovu za kilimo na ardhi za chama tawala.
Mjukuu Mtiifu,
Mwaka 1998 kuna timu ya watafiti wanne kutoka Economic Research Bureau na Institute of Resource Assessment ilifanya utafiti wa Sekta ya madini na kugundua madudu mengi sana. Timu hiyo iliomba kukutana na wabunge ili iwape feedback ya utafiti kuhusu mapungufu ya policy ya madini na sheria ya madini ili vifanyiwe kazi. Mkapa aliposikia habari hizo akaagiza wasipewe nafasi hiyo. After some time wakati akizindua mgodi mmoja akiwa ameshika tofali ya dhahabu akasema, "halafu kuna watu wanajiita wasomi kumbe ni wasomi uchwara wanatumia Chuo Kikuu kujificha". Gazeti la RAI ambalo lilim-quote Mkapa, ninalo mpaka leo hii. Miaka 7 baadaye serikali inakuja kukiri kwamba Sheria ya Madini ina mapungufu pamoja na sera ya madini. Fanyeni marekebisho basi, hawapeleki maana wakifanya marekebisho, watakuwa wameziba ulaji wao.
Nchi inaongozwa na viongozi wanafiki kabisa!