Istanbul explosion: suspected bomb blast tears through crowded tourist hotspot Sultanahmet Square

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
An ISIS suicide bomber is believed to be behind the bomb blast that killed 10 and injured 15 in Istanbul today.

The explosion ripped through Istanbul's historic Sultanahmet district this morning.

Turkish President Recip Erdogan has announced that it is believed a suicide bomber from war-torn Syria is behind today’s sickening attack.

The blast took place close to the Sultanahmet tram stop and Dikilitas, the Obelisk of Theodosius.

Source:
Mirror
 
BOMU LA KUJIRIPUWA LARIPUKA NA KUUWA ZAIDI YA WATU 10 MJINI ISTANBUL ASUBUHI YA LEO.KATIKA ENEO LA WATALII BOMU LIMERIPULIWA NA KUNDI LA ISIS WANAKISIWA NDIO WALILORIPUWA HILO BOMU

sultan ahmed.jpg
eneo la bomu.jpg
gari la wafonjwa 2.jpg
gari la wagonjwa.jpg
İSTANBUL.jpg
ulinzi.jpg
wazee.jpg
 
Falme za kuzimu tabu tupu. Nyakati zaja wauao binadamu wenzao kwa jina la miungu wadhani wanamwabudu Mungu wa kweli. Poleni waathirika.
 
An ISIS suicide bomber is believed to be behind the bomb blast that killed 10 and injured 15 in Istanbul today.

The explosion ripped through Istanbul's historic Sultanahmet district this morning.

Turkish President Recip Erdogan has announced that it is believed a suicide bomber from war-torn Syria is behind today’s sickening attack.

The blast took place close to the Sultanahmet tram stop and Dikilitas, the Obelisk of Theodosius.

Source:
Mirror
Caputed world...!!!
 
Yani sasa hivi kupanda Turkish airline au Egypt Air lazima ujiulize mara 3....dunia haiko salama tena
 
Haya matukio yakujilipua Yoote Yanapangwa Na Serkalii husikaa..

Isis wanakua funded na hihi serkali na mabwana zake USA..Haya ni maigizoo tuu wanatafuta legitimercy ya kuingia Syria..
 
Hata mimi nshasikia kuwa hawa Turkey wana link na ISIS na ndio wanunuzi wa mafuta '(haramu)' ya ISIS. Sa iweje wawalipue tena maswaiba wao...hizi politics za dunia ni kizungumkuti
 
Tema mate chini
QUOTE="comred, post: 15084049, member: 35589"]Haya matukio yakujilipua Yoote Yanapangwa Na Serkalii husikaa..

Isis wanakua funded na hihi serkali na mabwana zake USA..Haya ni maigizoo tuu wanatafuta legitimercy ya kuingia Syria..[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom