IST vs Toyota belta

Lucas Mganda

JF-Expert Member
Mar 13, 2016
249
176
Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua usafiri kwa ajili ya familia yangu nipo mbeya mjini na pia iweze kinisaidia Mara moja moja kwenda likizo kahama je IPI itanifaaa kwa ubora na matumizi ya mafuta?
 
vist2.png

vsist.png

Iwapo IST & BELTA zote Engine Size 1,290cc hapo ulaji wa mafuta ni sawa.

Kwa safari ndefu si chini ya km 16 kwa lita moja.

Hapo labda utumie kigezo kingine kufanya uchaguzi. Ila kwa swala la mafuta zinalingana.
 
Toyota belta naizimikia kinoma, ina muundo mzuri, fuel consumption iko poa, na haziko nyingi mjini! Perfect kbs
 
Hapana mdau kuna jamaa alinidiscourage kuwa hizi gari si nyingi hapa bongo hivyo itanisumbua kwenye spear ila nipo katika hatua za mwisho niagize Toyota Allex
 
Hapana mdau kuna jamaa alinidiscourage kuwa hizi gari si nyingi hapa bongo hivyo itanisumbua kwenye spear ila nipo katika hatua za mwisho niagize Toyota Allex

ok hata mimi nilihitaji kuzijua kabla ya kuzifanyia maamuz
 
Acha uoga wa spare mkuu. Hizo gari kwa sasa zishaanza kuwa nyingi. Isitoshe hata kama zingekuwa bado hazijaanza kujaa sokoni usingeshindwa kupata spare. Siku hizi hatununui gari kwa uoga wa spare. Unaangalia interest yako unaitendea haki tu. Belata ni gari nzuri sana. Ungekosa hapa spare ungeagiza hata hapo Nairobi ndo wajanja wanafanyaga hivyo.
Hapana mdau kuna jamaa alinidiscourage kuwa hizi gari si nyingi hapa bongo hivyo itanisumbua kwenye spear ila nipo katika hatua za mwisho niagize Toyota Allex
 
Acha uwoga chukua belta hata hizo ambazo unaziona nyingi hazikununuliwa Siku moja
 
Back
Top Bottom