khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 212
mileage kaweka mkuu rejea post ya mhusika. Nimecheka mkuu wa kwanza eti 'unauza gari kama unauza maembe'Iko maeneo gani hiyo gari ? na imetembea kilomt ngapi na ni ya mwaka gani?
Cjui wamegundua nini, wanaviuza kweli kweli
Mtaani vinaitwa MGAO.
ist imetulia bana asikuambie mtu
Mbona mnaviuza sana hivi vigari mmegundua nini?