IST Milioni 6 tu

IST Milioni 6 tu

Status
Not open for further replies.
Hivi vigar ni vizur sana kwa town trip hasa kwa mtu mwenye uchumi wa kawaida.. Swala la kuuza nadhani ni la kawaida watu wanabadilika wakati flan mtu anatumia gari anaichoka hata kama haina tatizo anauza ananunua nyingine.
 
kawauzie mataira wenzako, we mtu unatoa tangazo hata picha huweki sasa hapo unategemea nn?
 
kununua gari mtandaoni is so risk. Interpol watakuhusu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom