IST imesimama

IST imesimama

emanuel kiduvilo

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
165
Reaction score
20
Kitu new tanzania bt used japan kwa mawasiliano tumia hz no upate mzigo 0768359292 na 0652359291 na picha chin hapo
 
Used japan picha chin hapa no kwa mawasiliano 0768359292
 

Attachments

  • 1413474309472.jpg
    1413474309472.jpg
    35.9 KB · Views: 511
  • 1413474324614.jpg
    1413474324614.jpg
    34.6 KB · Views: 445
  • 1413474340170.jpg
    1413474340170.jpg
    36.3 KB · Views: 430
nani apoteze muda wake na vocha kupiga simu kuulizia bei ya IST, weka bei kwenye tangazo lako hapa ili mtu ajue anajiandaa vipi kabla hajakutafuta ,,
Kitu new tanzania bt used japan kwa mawasiliano tumia hz no upate mzigo 0768359292 na 0652359291 na picha chin hapo
 
Nadhani kwa faida ya wengi ungeweka details zote muhimi ikiwemo bei. Na bei ni muhimu sana. Mambo ya kuficha bei yashapitwa na wakati, utafikiri unauza bangi kumbe gari. Hata kwako ni usumbufu kwa sababu mtu mwingine ana milioni zake 4 atakupigia simu wakati wewe unataka 10
 
Km huhitaji pita huko sio lazima ucomment km upo serious we hata nitext kwa hz no sijamlazimisha mtu na sina ugomvi na mtu u better mute km hihitaj
 
Back
Top Bottom