Wakuu mambo vp mishe zinaendaje ? kuna mpango wa siku hizi umeingia kuwa washkaji wanadeal na kuwatafutia watu kazi halafu mwisho wa mwezi ukidaka unampa commission yake kwa pesa mliyokubaliana wanakuwa kama style ya "Agency" fulani hivi. Mwenye kuwajua hawa waheshimiwa tujulishane wakuu, maana siku hizi kazi kwa kujuana hata ukiwa qualified vp !! Thanks