Nenda JM Mall ground floor kama unaenda kwenye super markert on your right hand kuna pharmacy inaitwa ACD wanauza vitu vya ukweli au ulizia msikiti wa ibadhi haupo mbali na jm mall kwenye maduka ya msikiti kuna duka la manukato ndio duka pekee hapa dar lililo speshelaiz kwenye manukato.