Isreal soldier and Palestian girl

Isreal soldier and Palestian girl

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
Anatishia nyau

israel soldier.jpg
 
Simama na upigane bila kujali matokeo ya vita.
haki haiombwi bali hupiganiwa!

Bazazi!
 
Huo ndo ugumu ambao Israel inaupata. Li-jamaa liko fullmasnondo na ki-demu kipo kitupu kabisa sasa hata mpambano unakuwa haueleweki sawasawa...! Ingekuwa askari wetu njaa njaa haka katoto kange-Mwangosiwa na kitu kizito..!
 
Fikiria mtoto kama huyu anajua kwamba huyu ni adui, ni dhalimu...anapaswa kutwangwa ngumi. Japo anajua tu'gumi' twake hatutamake difference, but she dares...and for that, she send a 'very strong' message that what you are doing is 'un-acceptable'!
 
Tatizo siyo kwamba kasichana kanajua huyu ni adui. Ni kwamba tangu kadogo kanafundishwa chuki na ubaguzi, kwa hiyo akli yake imekariri maruweruwe hayo tu!
 
What a shame! Yaani mpaka watoto wadogo wanajua haki inachezewa kamari! Kwanini wasitafute suluhisho la kudumu?
 
Kwa dunia ya Waarabu hako sio katoto, ni mama mtu mzima na anafaa kuolewa kabisa.

Tukirudi kwenye mada, hilo ni zao la malezi na kamwe si ujasiri. Kuna yule binti wa Pakistan anayebishana na Taliban kuhusu haki ya wanawake wa Kiislam kusoma, umeshaona akipewa sapoti na mataifa mengine ya Kiarabu? Wao kwao Taliban ni heroes na wanapongezwa kwa dhulma wanazofanya, sasa ni nini unakitegemea kwa mtoto aliyelelewa miongoni mwao?
 
Hakuna mpalestina hapo, huyo msichana ana nywele za kizungu kabisa.
 
unaweza kujua kuwa pamoja na vita watu wanamjua mungu.
huyu mwanajeshi anawajua maadui na si huyu mtoto.
 
dutch floods inamaanisha nini?inawezekana sijaficha upumbavu wangu hapa!!i doubt this is middle east!!are arabs blonde?
 
Kabinti kanapendeza. Kanajitahidi kujipigania bila kujali kanayepambana naye ana bunduki. Wote wana silaha kali. Huyu bunduki na huyu ithibati. Go ahead guys and do it.
 
Binti huyo anaandaliwa kwa ajili ya kujilipua.
 
She should be in school, lakini wale jamaa wa PLO hawapendi Shule, wanachopenda wao ni maugonvi tuu na kuomba omba.
 
Binafsi siungi mkono upanuzi wa makazi ya walowezi wakiyahudi ndani ya ardhi ya wapalestina! Mpaka nahisi kuwa Israel hana nia ya dhati ya kumaliza mzozo wa mashariki ya kati!
 
Wanafundisha chuki mpaka watoto !!!!
Na ndio desturi ya hawa wenzetu kila mahali
 

haka si katoto kuna kabinti huko arabuni kwenye karne ya saba kalikuwa kanaitwa aisha kakiwa na miaka tisa kuna mchizi mitaa ya maka mjukuu wa mustafa akiwa ana umri zaidi ya miaka hamsini alikapigilia msumari kaliupokea comfortably so kwa waarabu na waislamu mwanamke yeyote si mtoto ni kiburudisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom