Israel's nuclear weapons

Israel's nuclear weapons

Huna aibu mmebaki na wimbo uleule hakuna jipya Mara wagaratia mara padri haya yote yameingiaje hapa mmejaa matusi mdomoni mmekuwa kama Kasuka kwa karirishwa vibaya nanyi hamtaki kutumia akili zenu.
Kuna TUSI BAYA km kusema mungu wenu AMELAANIWA?

na Kuna Matusi Mabaya km HAO MAPADRI WANAVYOGEGEDA WATOTO WENU MAKANISANI KILA SIKU?

Hebu soma Hili andiko hapa Uone MATUSI anayotukanwa Yesu na YULE Paulo.

WAGALATIA 3:13

13-Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;-

Mnamsifu mungu wenu kwa kumpa cheo Cha LAANA!

Halafu sisi tukisema nyie mambulula mnasema Tunawatukana.

We kweli na akili zako timamu unakubali KUONGOZWA NA MWENYE LAANA?

dah.. ! Ugalatia kaazi kweli kweli.
 
Hayo ni maneno ya kukaririshwa na sheikhe wako huna jipya maneno hayo hujaanza leo
Myahudi mwenye makalio ya kijaluo!
Kwani lzm kila ukiandika basi Uandike UTUMBO TU?

Wewe kukubali kuwa mungu wako kajitoa roho yake ili abebe madhambi ya wale mapadri wanaolawiti watoto SIO KUKARIRI?

Wewe kuambiwa Kuwa mungu wako ni nafsi TATU kwa MOJA.
baba, mwana , roho. Eti hizi nafsi tatu zinamkamilisha mungu wako. Halafu hapo hapo unakubali kuwa Ile NAFSI iitwayo MWANA ILIKUFA SIKU TATU Mfululizo.

Sasa km mungu wako alikufa na Hapo hapo unasema mungu wako ni wa milele na wala HAFI!
Huko sio KUKARIRI km Mbulumundu tu?
 
Teh teh teh!
Akaniombee nani!
Pengo? Au Gwajima.

Hao wote wanatakiwa Kuombewa including yourself mwafrika mweusi unaejiona km Myahudi!

We ndo wamekubrainwash vibaya mno.

Linapokuja suala la Dini ni Imani usigombane na mtu kwa sababu ya Imani yake, au kwasababu ya Imani yako, Si lazima kila mtu aamini unachoamini, Msigombane kila mtu abaki na imani yake.
 
Hakuna sehemu mimi nimesema wagalatia waamini ninachokiamini mimi.
Hapa ninachofanya ni Kuwaonyesha mwanga wa haki.
Ni juu yao kuchagua hio haki au kubaki na Ugalatia wao mpaka kufa.
Huo mwanga wa haki ni upi sasa?
 
Back
Top Bottom