Israeli

Mkuu ungeweka maelezo kwenye.hiyo.lugha ya.picha tukuelewe
 
Hapo ni hatari, au mtabiri amekosea? Wakati wengine watakuwa na vipindi vya jua na mvua, Israel wao ni mvua ya kichapo.
 
Kwa nini unatuletea habari ya kutumiza vichwa kupata maana yake badala ya kutueleza???
 
Hawa jamaa bado vita yao haijaisha na inasemekana haitokwisha mpaka kiama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…