baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 5,577
- 11,585
So una Kubali Wapalestine ni watu wa hapo enzi na enzi?Ukizungumzia enzi za Abraham basi ni obvious kwasababu kipindi kile wakaazi wa ardhi Ile walikuwa wakanani, wayebusi, wahiti nk hivyo wao lazima DNA zao ziwe nyingi.
Vita zimepiganwa sana kuanzia kipindi cha Yoshua, Waamuzi na wafalme wa Israel.
Hata hivyo DNA match inayozidi 50 percent ni kubwa sana ukizingatia miaka iliyopita ni mingi na jamii zilifanya sana intermarriage.
Israel waliporudi kutoka misri waliangamiza mataifa yaliyokuwepo kwenye ardhi kama Mungu alivyomuahidi Abraham.So una Kubali Wapalestine ni watu wa hapo enzi na enzi?
Kuwapa sio tatizo, muhimu ni kwamba hilo eneo sio asili yao , wao ni watu wa Iraq , lazima kumbukumbu ikae sawaMungu ndio anayeamua nani amiliki wapi. Aliwapa Israel hilo eneo.
Kwa Hio hapa Tabu unayopata ni kwamba Neno palestine halijatajwa sio?Israel waliporudi kutoka misri waliangamiza mataifa yaliyokuwepo kwenye ardhi kama Mungu alivyomuahidi Abraham.
Hawa wapalestina hawakuwahi kutajwa enzi zile. Ni wavamizi wa miaka ya AD baada ya Rome kuisambaratisha Jerusalem na kuwahamisha wayahudi around 70 AD.
Idi Amin ni mvamizi kama Israel, maana kwenye hiyo nchi Israel alikuta watu na kuanzisha vita kama Idi Amini ili kuteka maeneo, hivyo basi tofauti yao ni justification tu ya uvamizi basi, yule Israel anadai ile nchi kapewa na Mungu wake na Idi Amin anadai Kagera ni sehemu yakeMungu kawapa Israel hilo eneo. Wengine waondoke. Tanzania mbona tuliwafurusha akina iddi amin walipovamia?
Mkuu tuletee ushahidi kwamba wapalestina walikuwepo kwenye ardhi Ile BC.Kwa Hio hapa Tabu unayopata ni kwamba Neno palestine halijatajwa sio?
Tanzania miaka 70 iliopita haikuwepo, je sisi Watanzania ni wavamizi hapa?
Wakija watu miaka Ijayo wakajiita kizazi cha kinjikitile na kusema Tanzania si yetu Utawaelewa?
Ukienda safari halafu mtu achukue ardhi yako inamaanisha ndio kaimiliki kihalali?Idi Amin ni mvamizi kama Israel, maana kwenye hiyo nchi Israel alikuta watu na kuanzisha vita kama Idi Amini ili kuteka maeneo, hivyo basi tofauti yao ni justification tu ya uvamizi basi, yule Israel anadai ile nchi kapewa na Mungu wake na Idi Amin anadai Kagera ni sehemu yake
Kaanani haijawai kuwa nchi ya waisrael mpaka walipofanya uvamizi , baada ya kutoka kwenye utumwa kule Misri, Israel ni mvamizi tu kwa justification kuwa eneo kapewa na MunguUkienda safari halafu mtu achukue ardhi yako inamaanisha ndio kaimiliki kihalali?
Israel walienda misri kutokea wapi?Kaanani haijawai kuwa nchi ya waisrael mpaka walipofanya uvamizi , baada ya kutoka kwenye utumwa kule Misri, Israel ni mvamizi tu kwa justification kuwa eneo kapewa na Mungu
Wacha uongo na propaganda za kitoto, hao wapalestina na waisrael feki hao wote ni wavamizi wenye asili moja ya uarabu tokea uturuki, before1947 hakujawai kuwepo na eneo linaloitwa israel mahala hapo wala hao waisrael hawajawai kuwepo eneo hilo , before uvamizi wao kwa msaada wa UN.Site zenu wakristo
Jews and Arabs Descended from Canaanites
DNA analysis of 93 ancient remains from Israel, Lebanon, and Jordan reveals that modern Jews and Arabs share more than half their ancestry with the Bronze Age Canaanites—showing that ancient Israelites and their neighbors descended from a genetically cohesive Canaanite population.www.biblicalarchaeology.org
Jews wengi wa sasa ni Ashkenaz Dna zao zinaonesha ni watu wa canaan ila hazimatch sana kama za Wapalestina ama Levant arabs (lebanon, syria etc)
Graph ya Dna
View attachment 2244846
Dark Blue ni jinsi gani Dna zina match na watu wa zamani wa canaan.
Unaweza kuonesha huo mkataba tukuamin? By the way huyo ibrahim hajawai fanya mkataba na mtu yeyote yule wala hakuna uthibitisho kibiblia na kama upo tutajua vip ni yeye wakati yeye mwenyewe hatuna uthibitisho wa uwepo wake dunian? Na kama alikuwepo je sie nae mvamiz? Na je ujui kuwa mikataba hufojiwa?"Israel alipeleka mkataba wa mauziano ya ardhi yaliyofanywa kati ya Abraham na wenyeji wa kanani kama ushahidi wa umiliki wa ardhi pale UN na wakashinda na kupewa ardhi yao. Hakuna sehemu nimetaja dini."
Hayo ni maneno yako!
Vipi kama huyo Mwajemi akija na mkataba utakaonesha mauziano aliyofanya na wakazi wa kipindi hicho kama ushahidi? Kilwa ndio iwe kwaheri?
Walienda Misri kutokea kaanani ambapo walikuwa ni wageni tu hata maeneo ya kuzikia walikuwa wanauziwa tu na wenyeji , baada ya kutoka utumwani ndio vita ikaanza kuvamia maeneo ya watu na kutangaza wamepewa na Mungu, ndio damu ilipo mwagika kweli kweli kwa wenyejiIsrael walienda misri kutokea wapi?
Aisee, unajua hata ramani ya Palestine ilipo?Wacha uongo na propaganda za kitoto, hao wapalestina na waisrael feki hao wote ni wavamizi wenye asili moja ya uarabu tokea uturuki, before1947 hakujawai kuwepo na eneo linaloitwa israel mahala hapo wala hao waisrael hawajawai kuwepo eneo hilo , before uvamizi wao kwa msaada wa UN.
Ilo eneo lilikuwa milki ya mtu mweusi kabla ukoloni ama watu wa asia na ulaya kuivamia afrika na kuanza kusambaza uzao wao na kuifuta historia ya mtu mweusi.
Hao wote waarabu wa kipalestina na hao fake jews hawana muda mrefu tangu waivamie hiyo ardhi wanayodai ni takatifu.
Kwanza ni kufuru kuiita hiyo ardhi ndyo ile israel ya biblia, maana israel ya biblia haina features za ukame na jangwa ilizonazo iyo israel yenu ya uongo.
Israel ya biblia ilikua kubwa yenye mito na maziwa tofaut na hiyo israel feki iliyojawa ukame.
Israel ya biblia ilijawa na mbuga za wanyama na maliasili nyingi(madini&mimea ya asili) tofaut na hiyo mnayoforce tuiamni.
Israel ya biblia kijiografia inapatikana middle Afrca kutoka kush na Egypt yaan misri ya kale,(ukitaka uthibitisho wa kibiblia upo)
..pia kihistoria hawo waisrael wenu feki hawana historia yoyote ya kuwepo utumwani kama maandiko ya biblia yanavyosema kuwa bwana atawarejesha hao waisrael tokea kila pande za dunia kutoka utumwani, note this kutoka utumwani na sio rahani, na hili huwezi kuproof kupitia hao waarabu wenu waliojikusanya kutoka uturuki na mataifa mengine walikokuwa wakila bata na kujipachika hapo middle east et wametoka utumwan, utumwa upi uo? Hata kihistoria huwezi thibitisha kuwa kuna utumwa wa hao wahuni wenu.
Lkn kihistoria unaweza pata vithibitisho kila aina na hata mtoto mdogo anaweza kukuthibitishia kuwa ni race ipi ama ni sehemu gani ya dunia iliwapoteza watu wake mamilioni kwenda utumwani nje ta ardhi yao?, watu gani wenye historia ya pekee kuwekwa utumwani for more than 400years , hili hata mtoto mdogo anakujibu kuwa ni afrika pekee ndiyo inasifa ya kuwekwa utumwan na raia wake kuuzwa nje ya Africa na wengi wao wanarudi na watarudi kupitia njia mbalimbali.
Wafia dini shida yenu ni moja tu, mlikubari dini bila kutumia akili na mkazipokea kuamini kuwa hazina mapungufu, kwa bahati mbaya hao hao waliowapa dini ndio hao hao wanawapa na elimu ya uongo ili mzidi kuamn uongo.
kwa bahati nzuri pia elimu yao pia imechangia watu wengine tumeshituka mapema na kuujua ukweli ambao kwa vipofu wa akili ni ngumu kutoroka ktk gereza la utumwa wa akili.
Israel ya kweli ilishapotezwa zaman sana na hao hao mnaowaabudu na kuwapigia magoti ya misaada, israel ya kwel na taifa la Muumba ni Taifa la watu weusi Full stop, huu ndio ukwel mchungu ambao wachungaj, mashekhe, mapadri, maaskofu, manabii na wafuasi wa dini zote za uongo hawapendi kuusikia ili waendeleze biashara yao ya kuidanganya jamii ya mtu mweusi.
Dini zote ndyo ile chapa ya 666, chapa hii ni mafundisho ya uongo ambayo ukiyapokea ni ngumu kuujua ukwel maana inakufunga usijue nini kinaendelea, na dini hizo zitakuja kuleta maafa na maangamizo kwa kulazimisha kuamn pale mtakapoujua ukwel lkn mtakuwa mmechelewa kwa ukaidi wenu na uzembe wenu na hapo ndipo kipogo na joto la jiwe mtalionja kutoka kwa anti-african savior( Ant-true christ).
Haya ndyo mafundisho na utabiri wa kwel ambao ulishatabiriwa na kristo wa kweli ambaye ni mzee wa kiafrika aliyekuja kuwakomboa watu weusi kutoka ktk udanganyifu wa hao alien(watu weupe)View attachment 2245047
Nina historia ya dunia nzma na raman ya dunia nzima hata kabla ujazaliwa...keep respect aseeAisee, unajua hata ramani ya Palestine ilipo?
Sababu hayo Mabaki ni ya 1500 mpaka 3500BC Soma hio Makala Ya National Graphics niliyoweka huko Juu, Wapalestina wapo pale Toka Bronze Age.Mkuu tuletee ushahidi kwamba wapalestina walikuwepo kwenye ardhi Ile BC.
Kizazi cha kinjekitile tayari kipo, hakikufukuzwa.
Tanzania unaweza kuielezea ingawa jina hilo halikuwepo miaka 70 iliyopita.
Waliitwaje enzi hizo?Sababu hayo Mabaki ni ya 1500 mpaka 3500BC Soma hio Makala Ya National Graphics niliyoweka huko Juu, Wapalestina wapo pale Toka Bronze Age.
Umeona kwamba Abraham alikuwa ananunua maeneo? Sasa huo ndio uthibitisho wa Israel kumiliki hiyo ardhi. Tena walifanya hivyo ingawa tayari Mungu alishaahidi kuwapa hiyo ardhi.Walienda Misri kutokea kaanani ambapo walikuwa ni wageni tu hata maeneo ya kuzikia walikuwa wanauziwa tu na wenyeji , baada ya kutoka utumwani ndio vita ikaanza kuvamia maeneo ya watu na kutangaza wamepewa na Mungu, ndio damu ilipo mwagika kweli kweli kwa wenyeji
Soma Article, CanaaniteWaliitwaje enzi hizo?
Sasa kama wapalestina ndio Canaanites kwanini mnasema ni kizazi cha Abraham?Soma Article, Canaanite