nini kinachoonyesha huyo ni muisrael au mpalestinaHivi ndivyo vijana wa Israel wanavyowatenda wazee wa kipalestina kwa kuwapiga na kuwapulizia spray ya pili pili.
View attachment 2244318
Yani ningekuwa raia wa Palestina ninahakika ningekuwa nishazikwa! Nisingeona tabu kulingamiza linalojiita taifa vamizi katika ardhi ya wenzao.Hivi ndivyo vijana wa Israel wanavyowatenda wazee wa kipalestina kwa kuwapiga na kuwapulizia spray ya pili pili.
View attachment 2244318
Ardhi hiyo aliachiwa Isaka. Waende mecca.Yani ningekuwa raia wa Palestina ninahakika ningekuwa nishazikwa! Nisingeona tabu kulingamiza linalojiita taifa vamizi katika ardhi ya wenzao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumhusisha Mungu na mambo ya kipumbavu kama hayo huwa mnakosea sana.Ardhi hiyo aliachiwa Isaka. Waende mecca.
Hata maandiko yao yana wafundisha hivyo, sio kosa lao ni imani hizi ndio changamotoHivi ndivyo vijana wa Israel wanavyowatenda wazee wa kipalestina kwa kuwapiga na kuwapulizia spray ya pili pili.
View attachment 2244318
Na wao wanaweza kurudi Iraq maana ndio kwao, asili ya hilo eneo sio myahudi wala mfilistiArdhi hiyo aliachiwa Isaka. Waende mecca.
Mungu ndio anayeamua nani amiliki wapi. Aliwapa Israel hilo eneo.Na wao wanaweza kurudi Iraq maana ndio kwao, asili ya hilo eneo sio myahudi wala mfilisti
Mungu kawapa Israel hilo eneo. Wengine waondoke. Tanzania mbona tuliwafurusha akina iddi amin walipovamia?Kumhusisha Mungu na mambo ya kipumbavu kama hayo huwa mnakosea sana.
Kwahiyo unataka tukuamini kuwa mauaji na ukatili unaoendelea huko ni mipango ya Mungu na huyo Mungu anafurahi kuona yanayoendelea?
Shame on you!.
ni ukweli kabisaa hawa jamaa ile ni ardhi yao na ni wateule. kum,buka hawa jamaa ni waarabu ila mungu kawatunukia ubora wa kufikiri, Lugha na nguvu kupita waarabu wote. 1948 walikuwa hawana jeshi la anga walimpiga misri na kumshilisha adabu. 1967 misri aliomba waarabu wote wampige mane Israel. Israel aliwapiga wote kwa siku sita tuu na kuwateka mashamba mito na ardhi zao. sasa hivi leo hii wapo syprus wakifanya mazoezi makali ya kijeshi hatujui nani atalizwa mwaka huu mwezi wa saba.Hivi ndivyo vijana wa Israel wanavyowatenda wazee wa kipalestina kwa kuwapiga na kuwapulizia spray ya pili pili.
View attachment 2244318
Hivi ndivyo vijana wa Israel wanavyowatenda wazee wa kipalestina kwa kuwapiga na kuwapulizia spray ya pili pili.
View attachment 2244318