Israeli strikes in Syria

Kule urusi viwanda silaha vyote wataalam ni Wayahudi [emoji4] ukiwaeleza wanaleta ashki majununi [emoji12]
CONGRESS YA MAREKANI NA D.O.D ZIMESHIKILIWA NA ISRAEL
 
HAWAJUI ISRAEL INAITAWALA MAREKANI NA ULAYA??? WANA MAPANDIKIZI KILA NCHI TENA VIONGOZI WAKUBWA KINOMA
Pamoja na hayo, Mungu akiamua jambo linawezekana....ni bado tu siku zake hazijafika. Ila mtakuja nambia kipigo watakacho kuja kukipata hao nyau kufirana...
 
Peace is merely an interlude between two
wars . Fight!
 
Pamoja na hayo, Mungu akiamua jambo linawezekana....ni bado tu siku zake hazijafika. Ila mtakuja nambia kipigo watakacho kuja kukipata hao nyau kufirana...
Once, and mybe kama ungekuwa unaish karib na Mungu. Main question is hili taifa limezungukwa na maadui zake,lakin hakuna hata aduo mmoja alieweza kuvamia.. is it bahati mbaya au Mungu?
 
Mungu gani huyo ameliita hilo taifa ni teule! Maana hata yesu mwenyewe wanamkana na ukristo hawautambui


Kutoka 6:1-8
1.Basi Yehova akamwambia Musa: “Sasa utaona mambo nitakayomtendea Farao.+ Mkono wenye nguvu utamlazimisha awaruhusu watu wangu waende zao, na mkono wenye nguvu utamlazimisha awafukuze kutoka katika nchi yake.”+

2 Kisha Mungu akamwambia Musa: “Mimi ni Yehova. 3 Nami nilikuwa nikimtokea Abrahamu, Isaka, na Yakobo kama Mungu Mweza-Yote,+ lakini kwa jina langu Yehova+ sikujitambulisha kwao.+ 4 Pia, nilifanya agano pamoja nao kwamba nitawapa nchi ya Kanaani, nchi ambamo waliishi kama wageni.+ 5 Sasa mimi mwenyewe nimesikia kilio cha uchungu cha Waisraeli, ambao Wamisri wanawatumikisha kama watumwa, nami ninakumbuka agano langu.+

6 “Kwa hiyo, waambie Waisraeli: ‘Mimi ni Yehova, nami nitawatoa kutoka chini ya mizigo ya Wamisri na kuwaokoa kutoka katika utumwa wao,+ nami nitawakomboa kwa mkono ulionyooshwa* na kwa hukumu kubwa.+ 7 Nami nitawachukua muwe watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu,+ nanyi hakika mtajua kwamba mimi ni Yehova Mungu wenu anayewatoa kutoka chini ya mizigo ya Misri. 8 Nami nitawapeleka katika nchi niliyoapa*kwamba nitampa Abrahamu, Isaka, na Yakobo; nitawapa ninyi iwe miliki yenu.+ Mimi ni Yehova.’”+
 
Haya maandiko yakutungwa sina imaninayo....
 
HAHAHAHAAAAA BASI AMINI KANCHI KADOGO KAMA MKOA WA KILINAMJARO KAMEZIPIGA NCHI 4 ZA KIARABU (MISRI, JORDAN, SYRIA)TENA KWA SIKU SITA TU.

MAREKANI MWAKA 1991 ALIPIGANA NA IRAQ KWA MIAKA KADHAA NDO UJUE HAWA JAMA SIO WA KITOTO
Hahahaaa kwa msaada wa nchi za ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…