Israeli Startup Makes World's First Mobile Printer

Israeli Startup Makes World's First Mobile Printer

Hii Sentensi imenifanya nicheke, manake sijaona mtu anayejadili kuhusu hiyo Printa..
Zaidi kila mtu ameshupalia kuwasifia tu waisrael, sisi ngozi nyeusi bado sana..

Acha tu kaka, Nyani Ngabu alishasema MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO, inatia aibu sana!
 
Sasa weka iman pemben Wayahud IQ ipo juu kulikoo jamii yoyote ile ya watu. Ata ukiangalia orodha yaa wanasayansiI mashuhuriI dunian walioshinda tuzo za nobel wayahud wanaongozaa japo wao ni kundi dogo.
nyie fikirien bik iraa 70 tu chinn yaa mtende

Samahani umekosea njia, mimi siamini katika mungu yeyote, mambo ya dini yako pembeni, hivyo kama unataka mjadala wa kubishania mungu na dini hadi kuchinjana na kulipuana mabomu tafuta mwenye imani mwenzako. Kama unataka kujadili kifaa kilicholetwa katika mada karibu, kama unataka kujadili watu endelea na safari.
Asante.
 
Mada za muislael huwa zinaleta malumbano flani hivi sijui kwanini?

Ukweli ni kuwa siyo waisrael wana IQ kubwa kuliko watu wote duniani. Ni kwamba wame experience vitu vingi na mazingira tofauti tofauti hapa duniani. Hii ni kutokana na tabia yao ya kusafiri safiri pande zote za dunia. Elimu yao ni wameanza kuipata zamani sana. Hata akina christopher columbus wametokea portugal/hispania kwenda america lakini they were jews.
Mi nafikiri tuangalie kitu kilichotengenezwa na siyo mtu aliyetengeneza.
 
unasahau kuhusu kufufuka kwake na pia alikuja kwasababu hiyo hiyo...sio mungu anakaa tu uko alipo anaagiza watu wampiganie halafu watu wenyewe wanapigwa na ka nchi kadoogo....Jesus Walked the Talk
 
Michango motomoto, May God Bless Israeli..............:llama:

======ISAYA 62:1-2====
1 For Zion's sake will I not hold my peace, and for Jerusalem's sake I will not rest, until the righteousness thereof go forth as brightness, and the salvation thereof as a lamp that burneth. 2 And the Gentiles shall see thy righteousness, and all kings thy glory: and thou shalt be called by a new name, which the mouth of the LORD shall name.
 
Na ijulikane wazi kuwa, wale wote wanaomtumikia Mungu wa Israeli (Jehovah), wanakuwa na upendeleo wa kiungu (Divine Favour) kiasi kwamba maadui zao hufanyika kuwa mikia na wao kuwa vichwa siku zote, katika Jina la Yesu. Amen
exactly!! Ubarikiwe na wewe
 
Sasa weka iman pemben Wayahud IQ ipo juu kulikoo jamii yoyote ile ya watu. Ata ukiangalia orodha yaa wanasayansiI mashuhuriI dunian walioshinda tuzo za nobel wayahud wanaongozaa japo wao ni kundi dogo.
nyie fikirien bik iraa 70 tu chinn yaa mtende

iq ipo juu sababu wanasoma sana c zaidi ya hpo hta wewe ukipata elimu sahihi na ukazingatia utafanya vitu viikubwa sana ....we hushangai wachawi kupanda ungo wanafka mbeya kwa sekunde kumi? Vp km hii teknolojia ikifanyia utafiti na ikawa official
 
unasahau kuhusu kufufuka kwake na pia alikuja kwasababu hiyo hiyo...sio mungu anakaa tu uko alipo anaagiza watu wampiganie halafu watu wenyewe wanapigwa na ka nchi kadoogo....Jesus Walked the Talk

wa ajabu sana mungu huyu,alimtia mimba mama yake,akasulubiwa na viumbe wake,akajiomba msaada msalabani akilia,akajilaumu mslabani kwa kujiacha,ndiye mungu wa ibrahim na musa,au ni mwingine?
 
Back
Top Bottom