SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Upeo wako mkubwa ndiyo unakufanya ujadili mtu aliyevumbua kuliko kitu kilichovumbuliwa?!! kwa nini msijadili kifaa kilichovumbuliwa kuliko kujadili Waisrael? Yaani hakuna unachokifahamu kuhusu hiyo device yet unatoa uharo kusifu aliyevumbua?!!...kweli tunatakiwa kureview mitaala yetu yote, vyuo vinazalisha makapi mengi kuliko ngano!
Still Bado unaenendelea kunihakikishia jinsi gani ulivyo na UPEO MDOGO.