Israeli Request for More Arms from US...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Israeli Request for More Arms from US...!

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Jun 10, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jun 10, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Israeli Request for More Arms from US Raises Fears of Regional Violence


  By Catrina Stewart in Jerusalem

  Israel has approached the United States for more bombs and asked Washington to increase an emergency arms cache stowed on Israeli soil by 50 per cent, according to the leading newspaper Ha'aretz.

  The approach, made by Defence Minister Ehud Barak during a recent visit to Washington, reflects the heightened tensions in recent months between the Jewish state and its neighbours that have given rise to widespread fears within Israel of an imminent regional conflict.

  News of the request emerged as members of the international community stepped up the pressure yesterday for a thorough and impartial probe of last week's Israeli raid of a Turkish vessel bound for Gaza with humanitarian aid that ended in a bloodbath.

  The Russian Prime Minister, Vladimir Putin, who was attending a regional security summit in Turkey, added to the criticism of Israel and said he would raise the question of who would conduct an inquiry with the United Nations.

  Israel has agreed to carry out an investigation, which could be overseen by two international observers, but would be limited to a theoretical debate of the merits of the raid and the blockade. The commandos who led the raid would not be questioned.

  Israel has defended its land and sea blockade of Gaza, arguing that it prevents the flow of weapons to Hamas, the Islamist group that governs the strip. Critics say it constitutes collective punishment that has led to a humanitarian crisis.

  Fearing that its enemies are rearming along its borders, Jerusalem has asked Washington to increase the emergency stores by $400m (£278m) to $1.2bn and is also seeking to buy more Joint Direct Attack Munition (JDAM) bombs from the US, the liberal newspaper Ha'aretz reported, citing unnamed sources.

  The JDAM is a sophisticated satellite-guided bomb used extensively by Israel in the Lebanon War in 2006 and in its Gaza offensive at the end of 2008.

  The Israeli Ministry of Defence refused to comment on the report and the US State Department did not respond to requests for comment.

  Washington agreed in December to double stores to $800m worth of arms, including rockets, bombs and armoured vehicles, allowing the Israeli forces to use the equipment with US approval in the case of an emergency.

  Israel has already done so in the past, falling back on the US munitions during the Lebanon War in which at least 1,200 Lebanese and 160 Israelis were killed.

  The Israeli move reflects the country's growing sense of embattlement in a region largely hostile to it. Iran

  has repeatedly threatened to erase Israel from the map, while Hizbollah, the Iranian-backed Lebanese militia group, has amassed thousands of rockets along Israel's northern border. Relations with Turkey, once Israel's closest ally in the region, have plunged to new lows following the flotilla raid.

  "Israel does have a sense of the coalescing of an alliance which is committed sooner or later to war with Israel," said Jonathan Spyer, senior researcher at the Global Research in International Affairs Centre in Herzliya. "Everyone is building up frightening amounts of military hardware."

  Israel recently accused Syria of providing Hizbollah with Scud missiles, a powerful weapon capable of hitting cities deep inside Israel. Syria vehemently denied the claims, countering that Israel was seeking a pretext for war.

  Neither Hizbollah, still smarting from the previous conflict four years ago, nor Israel are likely to want another war, Spyer said. Any conflict with Hizbollah would likely spin out of control beyond Lebanon to include Syria and Iran.

  The US, Israel's staunchest ally, provided $2.5bn in military aid to Israel last year, freeing up an equivalent amount for spending in other areas. It recently agreed to help fund the country's Iron Dome project, a controversial anti-missile system.


  The independent
   
 2. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wanampima tu mjaluo kuona ana msimamo gani kwao...wameshamtilia mashaka tangu alipomwambia nenyata aache ujenzi western jerusalem...na ben netanyau alikataa na kumdharau..sasa wanabip ili kuona marekani ya obama/mjaluo ina msimamo gani kwa sasa ili kupata ukurasa mpya wa kujitegemea au kufanya watakachoamua...wala usipate shida si kwamba hawana silaha, silaha nyingi na nzito ajabu alishapeleka bush kabla ya kuondoka na hadi magazeti ya israel wenyewe na marekani waliliongelea na kulalamika sana kuhusu hili....kwamba bush kapeleka silaha...lakini bush alijua BARACK HUSSEIN OBAMA hatakuwa pamoja na israel na israel wanalijua hilo sasa wanamtega tu...
   
 3. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ubungoubungo, usihangaike sana kuitetea israel, Mungu mwenyewe ataitetea...
   
 4. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,199
  Likes Received: 520
  Trophy Points: 280
  'siku wayahudi wakiweka silaha chini au wakishiwa silaha itkuwa ndiyo mwisho wa taifa la israel,na siku ambayo waarabu wataweka silaha au wakiishiwa silaha itakuwa ndiyo mwanzo wa amani duniani' by b.n
   
 5. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,199
  Likes Received: 520
  Trophy Points: 280
  Mama yake myahudi kwa asili...
   
 6. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mamake obama asili yake ni myahudi, I never knew this....are you sure?
   
 7. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Unajitia upofu kuitetea Israel,vyenginevyo wewe na BARACK HUSSEIN OBAMA ni ndugu.
  Kule kwenye mjadala wa meli iliyovamiwa na Israel https://www.jamiiforums.com/international-forum/63107-gaza-humanitarian-ships-leave-cyprus-attacked-by-israeli-commandos.html umesifu sana vyuo vya kijeshi vya Israel na America kwamba ndio vyuo bora duniani vya kijeshi.Kwa maneno yako umesema  Sijui unaongelea ubora wa majengo au ubora gani.

  Katika vita vya mwanzo vya ghuba chini ya America kwa kisingizio cha kuikomboa Iraq.Marekani ilifanya unyama mkubwa sana kwa kuangamiza jeshi la Iraq huku wenzao-Iraq tayari wameshafunga vita kwa usuluhishi uliofanywa na Urusi.Ukitaka kujua unyama huo soma kitabu cha THE GULF WAR CHRONICLES:A military history of the first war with Iraq by Richard Lowry,ambacho hata hivyo inaonekana Google hawakuruhusiwa kukiscan chote.

  Zaidi soma uk.175,176,201-203.Baada ya hapo tuambie mafunzo ya kufanya unyama huo America walitoa kwenye chuo gani kati ya vyuo vyako.

  The Gulf War Chronicles: A Military ... - Google Books

  Kwenye uk.201 imeelezwa kuwa General Boomer alitoa agizo la maandishi kwa askari wake kama ifuatavyo:Cease all offensive operations effective 0800.Remain in your current positions and assume defensive posture.War time rules of engagement remain in effect.Be prepared to resume offensive operations.Forces are allowed to defend themselves.

  Haya maneno yanaeleza dhamira waliyokuwa nayo kuliangamiza jeshi la Republican guard.Ukisoma hicho kitabu utaelewa hasara walilolitia jeshi la Iraq huku wakiwa hawako kwenye namna ya kujilinda tena.
  Wewe unasema umesomea haya mambo ya kijeshi na sheria za kivita.Ni matumaini yangu kuwa utatoa maelezo yaliyo kinyume na hayo ili kuhalalisha unyama huu.Kinyume na hivyo utakuwa ni mropokaji ambaye hata wayahudi wenyewe hawatokuthamini.
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Bwana mdogo, kama haujui vitu uwe unanyamaza kimya...hivi mtu akikwambia u cease all offensive operation ana maana gani kwako? si ana maana usimamishe mashambulizi?....remain in your current positions and assume defensive posture...akimaanisha, bakini kwenye maeneo yenu baada ya kusimamisha na muwe katika hali ya kurudisha mashambilizi akiwa na maana wairaq wakirusha mashambulizi yao......forces are allowed to defend themselves...hapo sina hata haja ya kukutafasiria....HIVI UELEWA WAKO HAPO NI KWAMBA "haya maneo yanaeleza dhamira waliyokuwa nayo kuliangamiza jeshi la Republican gurd?"..oh my..hahahaha, jamani jamani, ndo maana tunasema watu wawe wanapekua vitabu kwanza kabla ya kuja hapa na porojo...

  pili, kwa kukusaidia, combatant vitani wanaruhusiwa kuua wanajeshi hata wote, na akiua wanajeshi akiwa vitani, si kosa, hata adui akimkamata hana haki ya kusema ampeleke kwenye mahakama yake akashitaki. hii ni haki ambayo combatants wanayo..isipokuwa kuna exception zake kwa mfano, kama wanajeshi wale wamesurrender, kama wanajeshi wale hawana silaha and they have their hands up...kama wanajeshi wale wamejeruhiwa na hawana hatari yoyote kwako, kama wako shipwrecked baharini, kama wametunguliwa kwenye ndege na hawana hatari ya kuuua wakiwa hewani, wakiwa wanashuka kweney parachute na hawana hatari kwako etc...kuwaua wanajeshi wengi wa iraq si kosa kisheria,..labda wangekuwa wameua raia...kuua mwanajeshi vitani hata ukiua wote sikosa....alimradi umetumia silaha ambazo hazikatazwi kisheria and at least ni reasonable yaani haziko excessive sana. HAUNA POINT KUONGEA HAPA, KAA KIMYA BWAMDOGO, UNASIKIA!
   
 9. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kama haujui kitu nyamaza kimyaaa,
   
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  this is nonsense...
   
 11. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wewe kila mara inaonekana ni mtu wa makeke tu,hujui lolote na husomi ukaelewa.Hukunukuu kitabu chochote ulichowahi kusoma na jina la muandishi tukamtafuta badala yake unatoa majambo kutoka ubongoni mwako.Huna tofauti na mbumbumbu mwengine yeyote.Unapenda neno kuna exception,ipi?.
  Umekubali kuwa kuuwa wanajeshi hata wote si kosa alimradi umetumia silaha ambazo hazikatazwi kisheria.Sasa utasemaji wakati Israel imekiri kutumia mabomu ya phosphorus katika vita vya Lebanon juzi juzi tu,na wala si kwa wanajeshi bali katika makazi ya raia.Tupe kutoka kitabu chako uhalali wa unyama huu wa ndugu zako.
  Israel admits using phosphorus bombs during war in Lebanon - Haaretz Daily Newspaper | Israel News
   
 12. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  MADAM! haujanielewa kabisa nilichokuwa nataka kusema...kwa usikopi vitabu, kama hii kitu si profession yako, hata ukiletewa kitabu halisi hata sheria yenyewe yote hapo, hautaielewa kwasababu utakuwa haujui kuinterpret sheria mkuu...nitakachofanya hapa, nitakoti sehemu uliyokuwa umeandika na mimi nikakujibu halafu ujiulize mwenyewe nini umeongea, na ujipe majibu wewe mwenyewe...kama ukiendelea na ubishi, wewe si saizi yangu katika ubishi,,,utanifupisha fikra kwasababu haujui kitu..sitaki kuchukuliana na kutokuelewa kwako kwasababu nina kazi nyingi...

  ulikoti sentense hii ukisema kuwa ilikuwa na maana ya kuwaua zaidi wairaq..."Cease all offensive operations effective 0800.Remain in your current positions and assume defensive posture.War time rules of engagement remain in effect.Be prepared to resume offensive operations.Forces are allowed to defend themselves."

  soma mwenyewe hapo halafu elewa nini ulikuwa unaandika...zaidi ya yote, wewe ni bwamdogo mno kwangu kiakili, hivyo tafuta wengine wa kubishana nao..wasikilizaji pia watakao soma iyo quotation yako watapata jibu uelewa wako ukoje..
   
 13. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  link yako haifunguki,...weka tena vizuri ili tupate ujumbe wako.
   
 14. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hiyo imeingiliwa tu na wajuzi wasiopenda ukweli, kwani haikuwa na matatizo yeyote ya kufunguka.

  Angalia hata sasa wameamua kuitoa hoja nzima au mwenzangu unaiona.

  bASI UKITAKA KUJUA UKWELI UNAUMA NDIO HAPAAAA!
   
 15. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Post yako ya mwisho hapo juu umesema link yako haifunguki.Mimi nina wasi wasi na compyuter yako huenda ni pentium 1.Vyenginevyo uliza IP wako.
  Hapo juu umepaste sehemu ya kitabu nilichokutolea kabla.Kama kweli wewe ni wa maana ungetufafanulia tukaelewa.Hapa kwenye internet umesahau kuwa sio kwenye runinga au rediioni.Umesema:" wasikilizaji pia watakao soma iyo quotation yako watapata jibu uelewa wako ukoje'.Hapa wasomaji wataona kwamba wewe ni mbabaishaji uliyechanganyikiwa.
  Bila wewe kufafanua hicho kipande mimi nitaelewa vile vile kwamba Marekani ilipanga kuliangamiza jeshi la Iraq ili lisiwe tishio hapo mbeleni katika vita vyake vya kupora utajiri wa dunia.
  Halafu kitu cha maana zaidi katika jibu lako la mwisho ilikuwa ujibu kuhusu phosphorus bomb ambayo ndiyo msingi wa wewe kurudi kunijibu humu.Hujafanya hivyo kuonesha huna jibu.Ujue kwamba huu ni unyama wa hali ya chini wa Israel.Mwengine tutakuletea ikiwa hujui kujifunza kushindwa hoja na kunyamaza.
   
 16. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mzee, usihangaike, imeshafunguka na computer yangu haina matatizo kama unavofikiri. nakushauri soma post nilizokupa huko juu, utaelewa..zaidi ya yote, wewe naona utanipotezea muda wangu kwasababu unakuwa mgumu kuelewa hata kile unachoandika mwenyewe...utaharibu akili yangu, samahani, sitaendelea kuchukuliana kutokuelewa kwako...ni mzigo kuliko kubeba gunia la mawe..
   
 17. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni kweli unapokuwa umeelemewa inakuwa ...ni mzigo kuliko kubeba gunia la mawe
  Hujafafanua jambo unazungukazunguka tu.Hapa huzungumzi na mimi peke yangu,weka maelezo yako sawa ufahamike ubora wa vyuo vya kijeshi vya Marekani na Israel ni upi?.
   
 18. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #18
  Jun 16, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ubora wao ni kuuwa raiya wasio na hatia... Wanawake, Watoto, Wazee, na wanaharakati...!
   
Loading...