Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,387
- 5,976
Abarenga 40 baguye mu gitero cy'indege Israel yagabye aho abantu biyakirira ku mazi muri Gaza, abandi 75 barakomereka.Byatangajwe n'umuyobozi w'ibitaro bya Al-Shifa, Dr. Mohammad Abu Silmiya.
Watu wapatao 40, wamepoteza maisha na wengine 75 kujeruhiwa. Ni kutokana na shambulio la Israel huko Gaza, ufukweni. Dr. Mohammad Abu Silmiya, mkuu wa Hospitali ya Al-Shifa ametangaza.
Watu wapatao 40, wamepoteza maisha na wengine 75 kujeruhiwa. Ni kutokana na shambulio la Israel huko Gaza, ufukweni. Dr. Mohammad Abu Silmiya, mkuu wa Hospitali ya Al-Shifa ametangaza.