Israel yatuma chombo Mwezini; kikifanikiwa kutua, kuwa nchi ya nne Kidunia

Wewe hujui kitu kuhusu Uislam nyamaza kimya... Ukiujua ukweli utakuwa huru. kawaulize wataalamu wa Dini wakupe elimu... unadhamu Dini ni ushabiki... soma hiyo...

Mkuu wewe ndiyo hujui kitu na ndiyo maana unakimbia hoja uliyoanzisha mwenyewe yani umeshindwa kuitetea hoja yako
Labda ungemkosoa kwa maelezo aliyotoa ungedhihirisha kwamba unajua unachokisema na anachosema mkuu hapo lakini wapi
hivyo umedhihirisha kwamba umetumia hisia sana kuongelea uislam na mwezi
Pia lengo la keleta huu uzi lilikua nahisi uliweka hisia za kidini kwa kiwango flani yani kiufupi wewe ni shabiki wa nchi teule au pro


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tnrkzkbwcqcznkjswtyunntkmnñij
Israel imetuma chombo cha anga ambacho kimeanza safari yake ya miezi miwili kabla ya kutua mwezini.

Chombo hicho kimerushwa majira ya saa 8:45 usiku wa Alhamisi kutokea Cape Canaveral, Florida Marekani kikiwa juu ya roketi ya Falcon 9 kutoka kampuni binafsi ya SpaceX inayomilikiwa a bilionea Elon Musk kina uzito wa kilo 585 na kimeitwa Beresheet kikimaanisha mwanzo kwa lugha ya Kiebrania.

Beresheet imeweka rekodi ya kuwa chombo cha kwanza kilichopelekwa mwezini kwa ufadhili binafsi na chombo cha kwanza kwa taifa la Israel na endapo kitafanikiwa kutua mwezini, Israel itajiunga na Marekani, Urusi na China kama nchi pekee zilizowahi kufanikiwa kutua vyombo kwenye uso wa mwezi.

Chombo ''Mwanzo'' kilifanikiwa kuingia kwenye mzunguko wa Dunia na kitazunguka kwa muda wa wiki tatu kabla ya kukutana na nguvu ya mvuto wa mwezi na kinatarajiwa kutua Mwezini April 11 2019 ambapo kitapiga picha na kufanya kazi kwa siku mbili kabla ya kujizima.

Chombo cha 'Mwanzo' kimebeba baadhi ya vitu huko Mwezini zikiwemo kumbukumbu za Myahudi aliyepona katika Mauaji ya Hitler, Biblia ya dijitali, Bendera na wimbo wa Taifa la Israel na michoro ya Watoto.

Chombo hicho na gharama zake hadi kupaishwa ndio kinasemekana ndio cha bei nafuu kabisa Duniani

=========
760583.jpg


An Israeli spacecraft aboard a SpaceX rocket has launched from Cape Canaveral in Florida, beginning a two-month journey to land on the Moon.
If successful, Israel, a state with fewer than 9 million citizens, will join Russia, the US and China as the only countries to have made a controlled landing on the surface of earth’s nearest neighbour.
Funded almost entirely by donations, the project is also the first privately backed lunar lander mission.
About the size of a washing machine, the 585kg (1,290lb) robotic lander named Beresheet, the Hebrew word for Genesis, took off at 8.45pm on Thursday local time. It was placed on top a Falcon 9 rocket, one of SpaceX’s private fleets run by the billionaire entrepreneur Elon Musk.
We thought it’s about time for a change, and we want to get little Israel all the way to the moon,” said Yonatan Winetraub, co-founder of SpaceIL, the nonprofit organisation behind the effort.
“We’ll keep analyzing the data, but bottom line is we entered the very exclusive group of countries that have launched a spacecraft to the moon,” said Yigal Harel, head of SpaceIL’s spacecraft program.
The Israeli prime minister, Benjamin Netanyahu, watched the launch from the control centre in Yehud, Israel.
“This is a very proud moment,” Netanyahu’s office quoted him as saying. “While this is a great step for Israel, it is a huge step for Israeli technology.”
Apollo 11’s Buzz Aldrin congratulated the team on their journey “to my old stomping ground ... the moon”.
Crewed lunar trips have taken around three days, but the probe will take a circuitous route.
Beresheet was jettisoned into Earth orbit 34 minutes after blasting off and successfully deployed its landing legs. However, it will not use them for some time – the lander will speed in ever-widening elliptical orbits around the Earth until it intercepts the moon’s gravitational pull in several weeks. Its creators have estimated it will land on 11 April after a 4m-mile (6.5m-km) journey.
Following an automated touchdown, the four-legged craft will photograph its landing site – a dark spot in a lunar plain called the Sea of Serenity – and measure magnetic fields. It will only be operational for about two days, before shutting down.
Its frame houses a time capsule of digital files the size of coins containing the Bible, children’s drawings, Israel’s national anthem and blue and white flag, as well as memories of a Holocaust survivor.
Built by SpaceIL in partnership with the state-owned Israel Aerospace Industries (IAI), Beresheet cost about £70m, a fraction of the cost of missions led by the Russian, US, and Chinese governments.
Morris Kahn, a South African-born Israeli billionaire, is the main backer but the US Republican party and pro-Israel funder Miriam Adelson and her casino-owning husband, Sheldon, also gave $24m.
US and European space agencies intend to use an expanding private space industry to send people back to the moon. The administrator of Nasa, Jim Bridenstine, called the Beresheet mission “a historic step for all nations and commercial space as we look to extend our collaborations”.
Beresheet was launched alongside two other payloads – a telecommunications satellite for Indonesia and an experimental satellite for the US air force.
SpaceX says the rocket will be reused, after the main-stage booster separated and flew back to earth, landing safely on a drone ship in the Atlantic ocean.


View attachment 1029397
View attachment 1029400
127620.jpg

127619.jpg


127622.jpg


127628.jpg

127627.jpg
Cecekkrddesssejjycfdevsdñojjjkkzaqjnoryjjkjspk

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
America wametuma Chombo kwenye jua unasema Habari ya mwezi
We jamaaa umesoma geography ya wapi ?
Unalijua jua wewe hiko chombo kingeungua kabla hata ya kulifikia jua.alafu tambua kuwa jua sio sehemu kama Mars au mwezi jua Ni mlipuko wa gesi za moto hydrogen fusion reaction yaani kudai kuwa kuna chombo kimeenda kwenye jua sawa na kusema chombo kimeenda motoni sasa sjui kama hilo linawezekana

Sent using iPhone x
 
We jamaaa umesoma geography ya wapi ?
Unalijua jua wewe hiko chombo kingeungua kabla hata ya kulifikia jua.alafu tambua kuwa jua sio sehemu kama Mars au mwezi jua Ni mlipuko wa gesi za moto hydrogen fusion reaction yaani kudai kuwa kuna chombo kimeenda kwenye jua sawa na kusema chombo kimeenda motoni sasa sjui kama hilo linawezekana

Sent using iPhone x
Kama kitu hujui kaa kimya, unahisi kwa dunia inavyoenda kasi kiteknolojia utajua kila kitu??
Usipopitia muda wa saa 2 kuhusu teknolojia tayari wewe upo nyuma. Jaribu kujifunza kila saa. Ingia hapo utoe ujinga.
Parker Solar Probe - Mission News
 
Joto la jua ni 2,000,000 centigrade
(2million nyuzi joto za centigrade) ktk joto hili hata ukiweka chuma tu kinabadilika na kuwa gesi sasa wewe unaleta uongo eti walienda kwenye jua .lol

Sent using iPhone x
 
Kama ishu ni simple hivyo,mpaka kampuni binafsi inapeleka chombo mwezini,kwanini marekani hawajawahi kurudi huko mwezini tangu miaka ya 60?
Wamarekani walidanganya! Hawakuwahi kufika mwezini. Hao waliofuata wakaamua kushindana na Marekani na wakafanikiwa kufanya kweli yaani kufika mwezini ambako Marekani hawakufika. Katika mazingira hayo, Marekani anaona aibu na yeye kujaribu kufanya kweli maana anaweza kushindwa na kwa teknologia ya sasa hawezi kudanganya! Kuomba msaada kwa waliofanya kweli wanaona aibu! Matokeo yake wamebaki nyuma kuwa watazamaji tu!!
 
Kinachofanyika huko kwenye jua ni "fusion reaction" ya isotopes za hydrogen na "reaction hiyo ndiyo inayozalisha hilo joto. Hakuna aliyewahi au anayeweza kufika kwenye jua , lakini hicho kinachofanyika huko wataalam wamekifanya kwenye "nuclear reactors" kunakotengenezwa "Hydrogen bomb" hivyo kuweza kupima joto lake "electronically". Kama hujaelewa muulize Brother Kim almaarufu kama dogo wa Kiduku huko NK ambaye amesomea "Nuclear Physics" na Taifa lake limefanikiwa kutengeneza "Hydrogen Bomb" lenye madhara mara nyingi kuliko bomu la kawaida la atomic!
 
Mkuu issue za kuelezana mambo ya Dini nilishaacha humu na post zangu nilizokuwa nawajibu humu watu karibu zote nilizifuta so nimeamua ni move forward waliofahamu walishatosha so najua wangi ni vipofu but kazi yangu nilishamaliza subiri waokozi wengine waje watakusaidia... Lete issue nyingine ila Bendera ya Israel kukaa kwenye Mwezi ni big embarrassment to Muslim world.
Huna lolote unalojua na km ulikuwa unawajibu watu humu unazan majib yako yalikuwa sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu issue za kuelezana mambo ya Dini nilishaacha humu na post zangu nilizokuwa nawajibu humu watu karibu zote nilizifuta so nimeamua ni move forward waliofahamu walishatosha so najua wangi ni vipofu but kazi yangu nilishamaliza subiri waokozi wengine waje watakusaidia... Lete issue nyingine ila Bendera ya Israel kukaa kwenye Mwezi ni big embarrassment to Muslim world.
Bendera ya Israel kukaa mwezini ni big embarrassment kwa Muslims!!??
Kwani nani anamiliki mwezi??? Ni waislam!!!? Kama jibu ni hapana basi ww huna tofaut na nabii tito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
swala siyo kurudi swala ni kwamba washawahi kwenda ndo maana sahivi wana amua kwenda mars sasa ko usiseme kwa nn hawajawahi kurud wkt wameamua kwenda mbali zaid ko huenda trip y a kwanza ya kwenye mwez walipata majibu ya kwa nn wa ende huko na sahv wana explorer sehemu zingne
Mwaka jana.mr Elon musk. Na space x yake walituma gari ktk sayali ya mars.vip mkuu limeshafika
 
Back
Top Bottom