Israel yatuma chombo Mwezini; kikifanikiwa kutua, kuwa nchi ya nne Kidunia

We unayebisha unakujua huko mwezini? By the way,wazungu hawa hawa waliokuletea story ya kwamba mwezi upo mbali na dunia ndio hawa hawa wanakwambia wamewahi kufika sasa wewe unabisha nini?
Muda mwingine story kama hizi unasoma unapita tu, wewe na serikali yako mmeamua kuwekeza kwenye kukandamiza matajiri, kuua demokrasia, kuteka na kuua watu, hivyo deal with that men. Dunia waachia wazungu
umesau na kufunga watoto vifungo vya maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislamu hawajawahi na hawatawahi kuabudia mwezi.Waislamu wanamuabudu Allah.Ama alama ya mwezi katika baadhi ya misikiti haina asili katika uislamu.Ila ni alama tu inayotumika kujulisha huu ni msikiti na ndio inayotumika hata katika jiografia.Ndio maana kuna misikiti mingi tu haina ingekuwa ndio unaabudiwa kila msikiti ungeiweka.
hujaelewa somo, kaa pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Spectator Index
@spectatorindex
Feb 22
Countries by satellites orbiting the earth,
2018. US: 830 China: 280 Russia: 147
Japan: 75 UK: 54 India: 54 Canada: 37
Luxembourg: 33 Germany: 29 Spain: 17
Argentina: 14 (UCSSD)
 
Hakuna nchi duniani imeshawahi kutuma chombo mwezini. Hizo ni propagation. Hollywood movies.
Swalo la msingi linaloulizwa: tangu marekani watangaze kufikisha wanadamu mwezini, ni kwa nini hakuna binadamu mwingine aliyewahi kwenda huko zaidi ya kurusha vyombo tu licha ya maendeleo makubwa katika sayansi na teknolojia?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Nyuma ya Mafanikio ya Israel kuna Mmarenakani! Kuanzia Defence projects nyingi kuna Mmarekani anamsaidia! Mfano tatizo kubwa la kupeleka satellite masafa ya Mbali ni Rockets technology apa Israel amepeleka Satellite yake US ili wampelekee na apa tunaona nyingi nyingi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa. Ila kuna maneno haya hunitatanisha. An Israel born i South Africa, born in US, born in Tz hawa huwa wanamaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa. Ila kuna maneno haya hunitatanisha. An Israel born i South Africa, born in US, born in Tz hawa huwa wanamaanisha nini?
Nadhani ni ile kujali u-Israeli wao kwanza au baada au kujiainisha tu kuwa,licha ya yeye kuzaliwa nchi fulani,lakini yeye ni muisraeli kwa asili na apenda ijulikane hivyo.Kuna m-Tz aliyeenda US,tena ukubwani kabisa na kufanikiwa kuupata uraia wa kule.Hujitambulisha kwa ile nchi,na si Tz na hataki hilo asilani.Hii ndio tofauti ya mpenda nchi yake na m'babaikiaji nchi za wengine!Ni mtazamo tu
 
Waislamu hawajawahi na hawatawahi kuabudia mwezi.Waislamu wanamuabudu Allah.Ama alama ya mwezi katika baadhi ya misikiti haina asili katika uislamu.Ila ni alama tu inayotumika kujulisha huu ni msikiti na ndio inayotumika hata katika jiografia.Ndio maana kuna misikiti mingi tu haina ingekuwa ndio unaabudiwa kila msikiti ungeiweka.
Wewe hujui kitu kuhusu Uislam nyamaza kimya... Ukiujua ukweli utakuwa huru. kawaulize wataalamu wa Dini wakupe elimu... unadhamu Dini ni ushabiki... soma hiyo...
 
Wewe hujui kitu kuhusu Uislam nyamaza kimya... Ukiujua ukweli utakuwa huru. kawaulize wataalamu wa Dini wakupe elimu... unadhamu Dini ni ushabiki... soma hiyo...
Nikosoe makosa yangu nitambue.Nitajue huyo mtaalamu nimfuate.Kwa majibu yako inaonekana hujui uislamu hata kwa kiwango cha kawaida.Lipi kosa katika maneno hayo?
 
Nikosoe makosa yangu nitambue.Nitajue huyo mtaalamu nimfuate.Kwa majibu yako inaonekana hujui uislamu hata kwa kiwango cha kawaida.Lipi kosa katika maneno hayo?
Mkuu issue za kuelezana mambo ya Dini nilishaacha humu na post zangu nilizokuwa nawajibu humu watu karibu zote nilizifuta so nimeamua ni move forward waliofahamu walishatosha so najua wangi ni vipofu but kazi yangu nilishamaliza subiri waokozi wengine waje watakusaidia... Lete issue nyingine ila Bendera ya Israel kukaa kwenye Mwezi ni big embarrassment to Muslim world.
 
Kama bendera ya Marekani ishakaa,urusi na China haijawa embarrassment Leo iwe Kwa ajili ya kibendera cha Israeli? Sio hivo tu hata Israeli wafungue baa huko haitakuwa embarrassment.Kwa kuwa mwezi kwetu hatuuabudu.
 
Back
Top Bottom