Israel yatuma chombo Mwezini; kikifanikiwa kutua, kuwa nchi ya nne Kidunia

Kama ishu ni simple hivyo,mpaka kampuni binafsi inapeleka chombo mwezini,kwanini marekani hawajawahi kurudi huko mwezini tangu miaka ya 60?
swala siyo kurudi swala ni kwamba washawahi kwenda ndo maana sahivi wana amua kwenda mars sasa ko usiseme kwa nn hawajawahi kurud wkt wameamua kwenda mbali zaid ko huenda trip y a kwanza ya kwenye mwez walipata majibu ya kwa nn wa ende huko na sahv wana explorer sehemu zingne
 
Israel imetuma chombo cha anga ambacho kimeanza safari yake ya miezi miwili kabla ya kutua mwezini.

Chombo hicho kimerushwa majira ya saa 8:45 usiku wa Alhamisi kutokea Cape Canaveral, Florida Marekani kikiwa juu ya roketi ya Falcon 9 kutoka kampuni binafsi ya SpaceX inayomilikiwa a bilionea Elon Musk kina uzito wa kilo 585 na kimeitwa Beresheet kikimaanisha mwanzo kwa lugha ya Kiebrania.

Beresheet imeweka rekodi ya kuwa chombo cha kwanza kilichopelekwa mwezini kwa ufadhili binafsi na chombo cha kwanza kwa taifa la Israel na endapo kitafanikiwa kutua mwezini, Israel itajiunga na Marekani, Urusi na China kama nchi pekee zilizowahi kufanikiwa kutua vyombo kwenye uso wa mwezi.

Chombo ''Mwanzo'' kilifanikiwa kuingia kwenye mzunguko wa Dunia na kitazunguka kwa muda wa wiki tatu kabla ya kukutana na nguvu ya mvuto wa mwezi na kinatarajiwa kutua Mwezini April 11 2019 ambapo kitapiga picha na kufanya kazi kwa siku mbili kabla ya kujizima.

Chombo cha 'Mwanzo' kimebeba baadhi ya vitu huko Mwezini zikiwemo kumbukumbu za Myahudi aliyepona katika Mauaji ya Hitler, Biblia ya dijitali, Bendera na wimbo wa Taifa la Israel na michoro ya Watoto.

Chombo hicho na gharama zake hadi kupaishwa ndio kinasemekana ndio cha bei nafuu kabisa Duniani

=========
760583.jpg


An Israeli spacecraft aboard a SpaceX rocket has launched from Cape Canaveral in Florida, beginning a two-month journey to land on the Moon.
If successful, Israel, a state with fewer than 9 million citizens, will join Russia, the US and China as the only countries to have made a controlled landing on the surface of earth’s nearest neighbour.
Funded almost entirely by donations, the project is also the first privately backed lunar lander mission.
About the size of a washing machine, the 585kg (1,290lb) robotic lander named Beresheet, the Hebrew word for Genesis, took off at 8.45pm on Thursday local time. It was placed on top a Falcon 9 rocket, one of SpaceX’s private fleets run by the billionaire entrepreneur Elon Musk.
We thought it’s about time for a change, and we want to get little Israel all the way to the moon,” said Yonatan Winetraub, co-founder of SpaceIL, the nonprofit organisation behind the effort.
“We’ll keep analyzing the data, but bottom line is we entered the very exclusive group of countries that have launched a spacecraft to the moon,” said Yigal Harel, head of SpaceIL’s spacecraft program.
The Israeli prime minister, Benjamin Netanyahu, watched the launch from the control centre in Yehud, Israel.
“This is a very proud moment,” Netanyahu’s office quoted him as saying. “While this is a great step for Israel, it is a huge step for Israeli technology.”
Apollo 11’s Buzz Aldrin congratulated the team on their journey “to my old stomping ground ... the moon”.
Crewed lunar trips have taken around three days, but the probe will take a circuitous route.
Beresheet was jettisoned into Earth orbit 34 minutes after blasting off and successfully deployed its landing legs. However, it will not use them for some time – the lander will speed in ever-widening elliptical orbits around the Earth until it intercepts the moon’s gravitational pull in several weeks. Its creators have estimated it will land on 11 April after a 4m-mile (6.5m-km) journey.
Following an automated touchdown, the four-legged craft will photograph its landing site – a dark spot in a lunar plain called the Sea of Serenity – and measure magnetic fields. It will only be operational for about two days, before shutting down.
Its frame houses a time capsule of digital files the size of coins containing the Bible, children’s drawings, Israel’s national anthem and blue and white flag, as well as memories of a Holocaust survivor.
Built by SpaceIL in partnership with the state-owned Israel Aerospace Industries (IAI), Beresheet cost about £70m, a fraction of the cost of missions led by the Russian, US, and Chinese governments.
Morris Kahn, a South African-born Israeli billionaire, is the main backer but the US Republican party and pro-Israel funder Miriam Adelson and her casino-owning husband, Sheldon, also gave $24m.
US and European space agencies intend to use an expanding private space industry to send people back to the moon. The administrator of Nasa, Jim Bridenstine, called the Beresheet mission “a historic step for all nations and commercial space as we look to extend our collaborations”.
Beresheet was launched alongside two other payloads – a telecommunications satellite for Indonesia and an experimental satellite for the US air force.
SpaceX says the rocket will be reused, after the main-stage booster separated and flew back to earth, landing safely on a drone ship in the Atlantic ocean.


View attachment 1029397
View attachment 1029400
127620.jpg

127619.jpg


127622.jpg


127628.jpg

127627.jpg
Mbona hata sisi tunarusha tu za kwetu zinatua kambi ya upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Israel ni extension ya US,ndoo maana hicho chombo kimerushiwa marekani,tena kwa kutumia roketi ya kampuni ya kimarekani,
lakini hata hivyo hatuwezi kusema israel iko nyuma sana kisayansi,wanajitahidi kwakweli,mnyonge haki yake apewe pia,
ha ha ha
 
Nyuma ya Mafanikio ya Israel kuna Mmarenakani! Kuanzia Defence projects nyingi kuna Mmarekani anamsaidia! Mfano tatizo kubwa la kupeleka satellite masafa ya Mbali ni Rockets technology apa Israel amepeleka Satellite yake US ili wampelekee na apa tunaona nyingi nyingi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wenzao iran walituma kitambo tu wao ndo wanatuma leo wanajaribu kufata nyayo za Iran eeh
Mkuu Lete Ushahidi mdogo tu... tujisomee Hadithi za Waajemi huwa zinafurahisha sana
 
wenzao iran walituma kitambo tu wao ndo wanatuma leo wanajaribu kufata nyayo za Iran eeh
Imagine Bendera ya Israel kutundikwa kwenye Mwezi na kama ujuavyo Mwezi unapewa point nyingi na Muslim na ndio sign kubwa kwenye kila msikiti... Sipati Picha ukiandama wakiutafuta wanakutanana bendera kwenye darubini zao...dah
 
Imagine Bendera ya Israel kutundikwa kwenye Mwezi na kama ujuavyo Mwezi unapewa point nyingi na Muslim na ndio sign kubwa kwenye kila msikiti... Sipati Picha ukiandama wakiutafuta wanakutanana bendera kwenye darubini zao...dah
Waislamu hawajawahi na hawatawahi kuabudia mwezi.Waislamu wanamuabudu Allah.Ama alama ya mwezi katika baadhi ya misikiti haina asili katika uislamu.Ila ni alama tu inayotumika kujulisha huu ni msikiti na ndio inayotumika hata katika jiografia.Ndio maana kuna misikiti mingi tu haina ingekuwa ndio unaabudiwa kila msikiti ungeiweka.
 
Back
Top Bottom