Israel yatuma chombo Mwezini; kikifanikiwa kutua, kuwa nchi ya nne Kidunia

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,384
9,751
Israel imetuma chombo cha anga ambacho kimeanza safari yake ya miezi miwili kabla ya kutua mwezini.

Chombo hicho kimerushwa majira ya saa 8:45 usiku wa Alhamisi kutokea Cape Canaveral, Florida Marekani kikiwa juu ya roketi ya Falcon 9 kutoka kampuni binafsi ya SpaceX inayomilikiwa a bilionea Elon Musk kina uzito wa kilo 585 na kimeitwa Beresheet kikimaanisha mwanzo kwa lugha ya Kiebrania.

Beresheet imeweka rekodi ya kuwa chombo cha kwanza kilichopelekwa mwezini kwa ufadhili binafsi na chombo cha kwanza kwa taifa la Israel na endapo kitafanikiwa kutua mwezini, Israel itajiunga na Marekani, Urusi na China kama nchi pekee zilizowahi kufanikiwa kutua vyombo kwenye uso wa mwezi.

Chombo ''Mwanzo'' kilifanikiwa kuingia kwenye mzunguko wa Dunia na kitazunguka kwa muda wa wiki tatu kabla ya kukutana na nguvu ya mvuto wa mwezi na kinatarajiwa kutua Mwezini April 11 2019 ambapo kitapiga picha na kufanya kazi kwa siku mbili kabla ya kujizima.

Chombo cha 'Mwanzo' kimebeba baadhi ya vitu huko Mwezini zikiwemo kumbukumbu za Myahudi aliyepona katika Mauaji ya Hitler, Biblia ya dijitali, Bendera na wimbo wa Taifa la Israel na michoro ya Watoto.

Chombo hicho na gharama zake hadi kupaishwa ndio kinasemekana ndio cha bei nafuu kabisa Duniani

=========
760583.jpg


An Israeli spacecraft aboard a SpaceX rocket has launched from Cape Canaveral in Florida, beginning a two-month journey to land on the Moon.
If successful, Israel, a state with fewer than 9 million citizens, will join Russia, the US and China as the only countries to have made a controlled landing on the surface of earth’s nearest neighbour.
Funded almost entirely by donations, the project is also the first privately backed lunar lander mission.
About the size of a washing machine, the 585kg (1,290lb) robotic lander named Beresheet, the Hebrew word for Genesis, took off at 8.45pm on Thursday local time. It was placed on top a Falcon 9 rocket, one of SpaceX’s private fleets run by the billionaire entrepreneur Elon Musk.
We thought it’s about time for a change, and we want to get little Israel all the way to the moon,” said Yonatan Winetraub, co-founder of SpaceIL, the nonprofit organisation behind the effort.
“We’ll keep analyzing the data, but bottom line is we entered the very exclusive group of countries that have launched a spacecraft to the moon,” said Yigal Harel, head of SpaceIL’s spacecraft program.
The Israeli prime minister, Benjamin Netanyahu, watched the launch from the control centre in Yehud, Israel.
“This is a very proud moment,” Netanyahu’s office quoted him as saying. “While this is a great step for Israel, it is a huge step for Israeli technology.”
Apollo 11’s Buzz Aldrin congratulated the team on their journey “to my old stomping ground ... the moon”.
Crewed lunar trips have taken around three days, but the probe will take a circuitous route.
Beresheet was jettisoned into Earth orbit 34 minutes after blasting off and successfully deployed its landing legs. However, it will not use them for some time – the lander will speed in ever-widening elliptical orbits around the Earth until it intercepts the moon’s gravitational pull in several weeks. Its creators have estimated it will land on 11 April after a 4m-mile (6.5m-km) journey.
Following an automated touchdown, the four-legged craft will photograph its landing site – a dark spot in a lunar plain called the Sea of Serenity – and measure magnetic fields. It will only be operational for about two days, before shutting down.
Its frame houses a time capsule of digital files the size of coins containing the Bible, children’s drawings, Israel’s national anthem and blue and white flag, as well as memories of a Holocaust survivor.
Built by SpaceIL in partnership with the state-owned Israel Aerospace Industries (IAI), Beresheet cost about £70m, a fraction of the cost of missions led by the Russian, US, and Chinese governments.
Morris Kahn, a South African-born Israeli billionaire, is the main backer but the US Republican party and pro-Israel funder Miriam Adelson and her casino-owning husband, Sheldon, also gave $24m.
US and European space agencies intend to use an expanding private space industry to send people back to the moon. The administrator of Nasa, Jim Bridenstine, called the Beresheet mission “a historic step for all nations and commercial space as we look to extend our collaborations”.
Beresheet was launched alongside two other payloads – a telecommunications satellite for Indonesia and an experimental satellite for the US air force.
SpaceX says the rocket will be reused, after the main-stage booster separated and flew back to earth, landing safely on a drone ship in the Atlantic ocean.


1550855487533.png

1550855519326.png

127620.jpg

127619.jpg


127622.jpg


127628.jpg

127627.jpg
 
Rocket aina ya Falcon 9 kutoka kampuni binasfi ya SpaceX ya Bwana Elon Musk ndio itakayokirusha chombo hicho cha Israel itakirushia huko Marekani Cape Canaveral in Florida chombo hicho kimeitwa kwa jina la Beresheet jina la kiyahudi likiwa na Tafsiri ya Kiingereza Genesis na kwa Kiswahili ''Zaburi''
Chombo Zaburi kitakuwa kimeweka historia mbili kwa wakati mmoja kuwa Chombo cha kwanza Binafsi na Chombo cha kwanza kutoka Taifa la Kiyahudi Israel.
Asante kwa taarifa lakini zingatia Marekebisho:
GENESIS
IMG_20190222_000601.jpg

ZABURI
IMG_20190222_000615.jpg
 
Hakuna nchi duniani imeshawahi kutuma chombo mwezini. Hizo ni propagation. Hollywood movies.
We unayebisha unakujua huko mwezini? By the way,wazungu hawa hawa waliokuletea story ya kwamba mwezi upo mbali na dunia ndio hawa hawa wanakwambia wamewahi kufika sasa wewe unabisha nini?
Muda mwingine story kama hizi unasoma unapita tu, wewe na serikali yako mmeamua kuwekeza kwenye kukandamiza matajiri, kuua demokrasia, kuteka na kuua watu, hivyo pambana na hali yako. Dunia waachie wazungu!!
 
We unayebisha unakujua huko mwezini? By the way,wazungu hawa hawa waliokuletea story ya kwamba mwezi upo mbali na dunia ndio hawa hawa wanakwambia wamewahi kufika sasa wewe unabisha nini?
Muda mwingine story kama hizi unasoma unapita tu, wewe na serikali yako mmeamua kuwekeza kwenye kukandamiza matajiri, kuua demokrasia, kuteka na kuua watu, hivyo deal with that men. Dunia waachia wazungu
Kwahiyo wamekwambia wanatuma chombo mwezini na wewe umekubari!? Hahahahaha!!! Hizo zilikuwa propaganda tu za kushindana na Russia na kuhamisha mada dhidi ya vita vya kivyetinamu.
Issue ya North Korea imeishia wapi!? Pwahahahaha
 
wenzao iran walituma kitambo tu wao ndo wanatuma leo wanajaribu kufata nyayo za Iran eeh
 
We unayebisha unakujua huko mwezini? By the way,wazungu hawa hawa waliokuletea story ya kwamba mwezi upo mbali na dunia ndio hawa hawa wanakwambia wamewahi kufika sasa wewe unabisha nini?
Muda mwingine story kama hizi unasoma unapita tu, wewe na serikali yako mmeamua kuwekeza kwenye kukandamiza matajiri, kuua demokrasia, kuteka na kuua watu, hivyo deal with that men. Dunia waachia wazungu
Hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi duniani imeshawahi kutuma chombo mwezini. Hizo ni propagation. Hollywood movies.
Hapo unakua umeongea nini? Ukiona wewe unakula dagaa na unaridhika usidhani ulimwengu mzima wanafagilia dagaa.

Kwasababu mazingira unayo kaa yana ndege mbovu zakusukumwa kwa mikono, kwaiyo umejenga fikra kua ndege zote ulimwenguni lazima zisukumwe



Sent using unknown device
 
Chombo ya anga kinatarajiwa kurushwa kuelekea Mwezini Alhamis ijayo usiku.

Rocket aina ya Falcon 9 kutoka kampuni binasfi ya SpaceX ya Bwana Elon Musk ndio itakayokirusha chombo hicho cha Israel itakirushia huko Marekani Cape Canaveral in Florida chombo hicho kimeitwa kwa jina la Beresheet jina la kiyahudi likiwa na Tafsiri ya Kiingereza Genesis na kwa Kiswahili ''Zaburi''

Chombo Zaburi kitakuwa kimeweka historia mbili kwa wakati mmoja kuwa Chombo cha kwanza Binafsi na Chombo cha kwanza kutoka Taifa la Kiyahudi Israel.

Chombo Zaburi kitaingia kwenye mzunguko wa Dunia kisha kitaanza kujiendesha chenyewe kwa muda wa wiki tatu kuelekea kwenye Mwezi na kitatua chenyewe kwenye uwanda wa wazi huko Mwezini April 11 2019.

Zaburi kitabeba baadhi ya vitu huko Mwezini zikiwemo kumbukumbu za Wayahudi waliopatwa na majanga miaka ya Hitler, Kitabeba Biblia ya Kidigital , Bendera ya Israel, Nyimbo za Kiisrael na Michoro ya Watoto... Chombo hicho na gharama zake hadi kupaishwa ndio kinasemekana ndio cha bei nafuu kabisa Duniani
=====°

Israeli spacecraft to be launched from Cape Canaveral Thursday night, bound for the Moon in Israel's first lunar landing mission.

760583.jpg


A rocket will take off from Cape Canaveral in Florida on Thursday night carrying Israel's Beresheet spacecraft, which aims to make history twice: as the first private-sector landing on the Moon, and the first from the Jewish state.

The 585-kilogram (1,290-pound) Beresheet, which means "Genesis" in Hebrew, is to lift off at 8:45 pm (1:45 a.m. GMT Friday) atop a Falcon 9 rocket from the private US-based SpaceX company of flamboyant entrepreneur Elon Musk.

The Israeli craft will be placed in Earth orbit, then begin a seven-week trip under its own power to reach the Moon and touch down on April 11 in a large plain.
The unmanned mission is part of renewed global interest in the Moon, sometimes called the "eighth continent" of the Earth, and comes 50 years after American astronauts first walked on the lunar surface.
"For the future of our children, the State of Israel and for the belief that anything is possible, join us and wish Beresheet luck on its way to the Moon!" said a collective message from SpaceIL, the non-profit organization that designed the Israeli craft.
Entrepreneurs, not government space agencies, financed the mission, initially as a potential entry in the Google Lunar XPRIZE contest.

That competition planned to award $30 million to encourage scientists and entrepreneurs to offer relatively inexpensive lunar missions. The contest closed without a winner in March 2018 but the SpaceIL team continued its mission and purchased a spot on a SpaceX rocket.
Other partners are Israel Aerospace Industries (IAI), Israel's space agency, and the country's Ministry of Science and Technology.

So far, only Russia, the United States and China have made the 384,000-kilometer (239,000-mile) journey and landed spacecraft on the Moon.

China's Chang'e-4 made the first-ever soft landing on the far side of the Moon on January 3, after a probe sent by Beijing made a Lunar landing elsewhere in 2013.

Americans are the only ones to have walked on the lunar surface, but have not been there since 1972.
For Israel, the landing itself is the main mission, but the spacecraft also carries a scientific instrument to measure the lunar magnetic field, which will help understanding of the Moon's formation.

Technically, it is far from a trivial mission.
After its initial boost from the Falcon 9, the Beresheet's British engine will have to make several ignitions to place the spacecraft on the correct trajectory to the Moon.

When it arrives, its landing gear must cushion the descent onto the lunar surface to prevent Beresheet from crashing.

- India plans to follow -

Beresheet will carry a "time capsule" loaded with digital files containing a Bible, children's drawings, Israeli songs, memories of a Holocaust survivor and the blue-and-white Israeli flag.

At a cost of $100 million, "this is the lowest-budget spacecraft to ever undertake such a mission. The superpowers who managed to land a spacecraft on the Moon have spent hundreds of millions of dollars in government funding," IAI said in an earlier statement.

"Beresheet is the first spacecraft to land on the Moon as a result of a private initiative, rather than a government."

After China earlier this year, and now Israel, India hopes to become the fifth lunar country in the spring with its Chandrayaan-2 mission. It aims to put a craft with a rover onto the Moon's surface to collect data.

Japan plans to send a small lunar lander, called SLIM, to study a volcanic area around 2020-2021.
As for the Americans, a return to the Moon is now the official policy of NASA, according to guidelines issued by President Donald Trump in 2017.
"This time, when we go to the Moon, we're actually going to stay," NASA Administrator Jim Bridenstine said last week.

To achieve this, the US space agency is changing its model and no longer wants to design the missions itself.

The National Aeronautics and Space Administration, which has installed equipment on Beresheet to upload its signals from the Moon, said last week it aims to land instruments later this year or next year and that it is inviting private sector bids to build and launch the US probes.

The US space agency plans to build a small space station, dubbed Gateway, in the Moon's orbit by 2026, and envisages a manned mission to Mars in the following decade.
Mkuu sio Alhamisi ijayo,kimerushwa Alhamisi hii huko Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom