FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Hamas ni sawa na Panya Road, ni vikundi vya wahuni, Israel haipigani nao huwa inawatuliza tu.
Ni mwendo wa an eye for an eye.Uzuri wa Myahudi hatoi majibu ya mezani, hata jiwe likirushwa ndani ya Israel, makombora ndio yanarudisha majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
History inatabia ya kujitengeza yenyewe.Wayahudi watafutwa,na histiria ya kumtesa Yesu itafia hapo.
Na wangekuwa na ufadhili kama wanaoupata Israel, nadhani Israel ingekuwa haiwatambii kama inavyofanya.Hamas hawana viwanda na wapo vjini ya vikwazo na bado wanatengemeza local missise za kufika mpaka Israel!
Jumuiya ya kimataifa ina condemn strikes za Israel ambazo most of the time hazi discriminate between military targets na civilians.Hivi huu ugomvi utaisha lini. Sometimes the dead are civilians. Sema na Hamas hawawezi kumaliza huu ugomvi kwa sababu lengo lao ni kuimaliza Israel ndio tatizo.
Wana kale kawimbo kao Fulani hivi, nimekamiss ngoja nikakatafute.
[emoji122][emoji122][emoji122] Israel, you need to respond when people bomb your home.
Cc chaliifrancisco, unaongeleaje huu 'unyanyasaji" wa Israel juu ya Hamas? .
Na wangekuwa na ufadhili kama wanaoupata Israel, nadhani Israel ingekuwa haiwatambii kama inavyofanya.
Vikwazo visha anza kuzoelekaNa hawaaezi kuruhusiwa kupata ufadhiri kama wa Israel. Hapo yeyote anayejitokeza kuwafadhiri kipesa anagongwa vikwazo kwa kufadhiri magaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app