Israel yashambulia vituo vya Hamas huko Gaza

Israel yashambulia vituo vya Hamas huko Gaza

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
5,500
Reaction score
8,065
Jeshi la Israel (IDF) limethibitisha kushambulia maeneo kadhaa ya Hamas katika ukanda wa Gaza Jumatano jioni.

Saa chache kabla, makombora kadhaa yalifyatuliwa kuelekea ndani ya mipaka ya nchi hiyo kutokea ukanda wa gaza. Kwa mujibu wa IDF, makombora mawili yaliangukia eneo la wazi na mengine yote yalizuiwa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Iron Dome.

Ikiwa ni hatua ya kujibu kitendo hicho cha awali, ndege za kijeshi za Israel zilishambulia vituo kadhaa vya Hamas, pamoja kiwanda cha uzalishaji wa silaha na kambi ya jeshi.

=======

The IDF confirmed late on Wednesday that Israeli forces have struck several Hamas targets in the Gaza Strip.

1579122716543.png


Several incendiary balloons were reportedly launched on Wednesday towards Israeli territory before the Israeli Defence Forces (IDF) fired rockets at alleged Hamas targets in the Gaza Strip.

According to local media, rocket sirens went off in southern Israel earlier on Wednesday, as four projectiles were reported to have been fired from the Gaza Strip. According to the IDF, two of the missiles hit an open area and the rest were intercepted by the Iron Dome System.

The IDF in response struck several Hamas facilities in the northern part of the Strip.

Alleged footage of the attack circulated on social media.

Hamas, a Palestinian Sunni militant organization in control of the Gaza Strip, has been locked in a protracted conflict with Israel, which still refuses to recognize the Palestine Authority as an independent political and diplomatic entity. Tel Aviv holds Hamas responsible for any attack coming from the Gaza Strip.

There has been no immediate claim of responsibility from Hamas for rocket attacks or the launch of arson balloons.

Source: Sputnik
 
Hamas hawana viwanda na wapo vjini ya vikwazo na bado wanatengemeza local missise za kufika mpaka Israel!
 
Yesu alizaliwa bethrehem ya Uyahudi zamani za Pontio Pilato. Wakaamua kumuua kwa kumtundika msalabani.

Hawa jamaa wanamaamuzi magumu sana.

Huwa najiuliza ni vipi na ilikuwaje wakati wa rescue mission to Entebbe 1976, yaani umeme ulikatika wakatua kukiwa giza alafu mlango wa ndege wa nyuma ukiwa wazi.

Jamaa ni noma

Ile six days war kuzipiga nchi zaidi ya 4.

Dar jamaa ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamas ni sawa na Panya Road, ni vikundi vya wahuni, Israel haipigani nao huwa inawatuliza tu.

Wamiliki ni
Tehran na Damascus

Sasa hivi wote wawili wapo katika misukosuko kabambe ...... Hamass wanabip tu..... kihalisia
Hezbollah na Hamass ni majeshi kutoka Tehran na Damascus pamoja na vifaa vitumikavyo.

Sasa hivi utulivu unaonekana ni sababu sponsors wamekalia makaa ya moto.
 
Hivi huu ugomvi utaisha lini. Sometimes the dead are civilians. Sema na Hamas hawawezi kumaliza huu ugomvi kwa sababu lengo lao ni kuimaliza Israel ndio tatizo.

Wana kale kawimbo kao Fulani hivi, nimekamiss ngoja nikakatafute.

Israel, you need to respond when people bomb your home.

Cc chaliifrancisco, unaongeleaje huu 'unyanyasaji" wa Israel juu ya Hamas? .
 
Wayahudi watafutwa,na histiria ya kumtesa Yesu itafia hapo.
History inatabia ya kujitengeza yenyewe.
Usitegemee hata siku moja Wayahudi watakwisha kwani wapo duniani kote ni sawa na kutegemea Wanyarwanda iko siku wataisha ilihali wanazaliana kila kukicha.
.
Na bongo wapo kina Jaquelin Mengi 😝😝 unahabari hata msanii Drake ni muyahudi kwa asili? Bro tuishi nao tu Mungu ana makusudi nao
 
Hivi huu ugomvi utaisha lini. Sometimes the dead are civilians. Sema na Hamas hawawezi kumaliza huu ugomvi kwa sababu lengo lao ni kuimaliza Israel ndio tatizo.

Wana kale kawimbo kao Fulani hivi, nimekamiss ngoja nikakatafute.

Israel, you need to respond when people bomb your home.

Cc chaliifrancisco, unaongeleaje huu 'unyanyasaji" wa Israel juu ya Hamas? .
Jumuiya ya kimataifa ina condemn strikes za Israel ambazo most of the time hazi discriminate between military targets na civilians.

Lakini little is done kwasababu huwa naona kama Israel huwa wanakuwa 'pampered' sana international community wakiongozwa na US na UN.

Israel plays the victim kila mahali since ile Holocaust kule Germany under Nazi regime na kuongezeka kwa vitendo vya antisemitism around the word.

To be fair ni kuwa mimi naona occupation ya Israel katika West Bank na Gaza sio kitu poa kwa Palestinians na tokea Hamas wamechukua uongozi in mid 2000s wamekuwa in constant conflict vs Israelis.
 
Back
Top Bottom